Tar 1 hadi tar 25: sadaka 400,000 chakula 500,000.

Expense Tracker app Niko nayo kama akiba pia. Kibongo bongo watu hutumia tu bila hesabu, kinachokuja akilini muda huo huo ndo hela inapotolewa. Kimbembe ni pale hesabu zisipo balance, una milioni Tano lakini kwenye kitabu una milioni nne na nusu, hiyo laki Tano Iko wapi?, ndivyo utajua hatupo makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…