M mansoorsaid JF-Expert Member Joined May 31, 2014 Posts 1,498 Reaction score 286 Jun 21, 2014 #1 Pawaga ni tarafa ipo Iringa vijijini, inazalisha mchele ulio bora na radha nzuri kuliko popote Tanzania. Nimetumia mchele kanda ya ziwa, Morogoro, Manyala, Kyela na Rudewa ila sijaona mzuri kama wa Pawaga.
Pawaga ni tarafa ipo Iringa vijijini, inazalisha mchele ulio bora na radha nzuri kuliko popote Tanzania. Nimetumia mchele kanda ya ziwa, Morogoro, Manyala, Kyela na Rudewa ila sijaona mzuri kama wa Pawaga.
TANMO JF-Expert Member Joined Apr 12, 2008 Posts 11,763 Reaction score 11,873 Jun 21, 2014 #2 Well, kwa hiyo?