mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
Pawaga ni tarafa ipo Iringa vijijini, inazalisha mchele ulio bora na radha nzuri kuliko popote Tanzania. Nimetumia mchele kanda ya ziwa, Morogoro, Manyala, Kyela na Rudewa ila sijaona mzuri kama wa Pawaga.