A
2021 Naibu Waziri wa Wizara ya Maji aliwapaka mafuta. Februari 2026 Waziri wa Maji na PM mkawapigia makofi mengi. Tafakari chukueni hatua. Mkenda alikomaa kuongeza shule nyingi za A level wilayani kwake hilo la maji mtajua wenyewe na muache kuwaita ndugu zenu kuwa ni wakenya kwa kuwa wanakaa ukanda wa chini. Kwanza huo ukanda ndipo hospitali ya wilaya ilipo mliyosema wamejengea wakenya sasa mnataka maji ya nini? Ni mawazo yanguWilaya zinazopakana na Mlima Kilimanjaro zinajulikana kwa kuwa na vyanzo vya maji, lakini hali ni tofauti kabisa katika maeneo ya ukanda wa chini wa Tarakea, Wilaya ya Rombo.
Tatizo la ukosefu wa maji katika eneo hili limekuwa la muda mrefu. Tangu utotoni hadi sasa nimefikia utu uzima, lakini bado wakazi wa maeneo haya wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kupata maji, kiasi kwamba baadhi yao hulazimika kufuata maji katika nchi jirani ya Kenya.
Hali hii inawaathiri wananchi kwa kiasi kikubwa, kwani maji ni hitaji la msingi kwa maisha, afya na shughuli za kila siku.
Tunaomba mamlaka zinazohusika na huduma za maji katika Mkoa wa Kilimanjaro na Wilaya ya Rombo zichukue hatua za haraka kutafuta suluhisho la kudumu la changamoto hii.
Wananchi wa ukanda wa chini wa Tarakea wanateseka sana kwa kukosa maji. Tunaomba Serikali isikilize kilio chao na kuhakikisha wanapata huduma ya maji safi na salama kama wananchi wengine.
Wilaya zinazopakana na Mlima Kilimanjaro zinajulikana kwa kuwa na vyanzo vya maji, lakini hali ni tofauti kabisa katika maeneo ya ukanda wa chini wa Tarakea, Wilaya ya Rombo.
Tatizo la ukosefu wa maji katika eneo hili limekuwa la muda mrefu. Tangu utotoni hadi sasa nimefikia utu uzima, lakini bado wakazi wa maeneo haya wanakabiliwa na changamoto kubwa ya kupata maji, kiasi kwamba baadhi yao hulazimika kufuata maji katika nchi jirani ya Kenya.
Hali hii inawaathiri wananchi kwa kiasi kikubwa, kwani maji ni hitaji la msingi kwa maisha, afya na shughuli za kila siku.
Tunaomba mamlaka zinazohusika na huduma za maji katika Mkoa wa Kilimanjaro na Wilaya ya Rombo zichukue hatua za haraka kutafuta suluhisho la kudumu la changamoto hii.
Wananchi wa ukanda wa chini wa Tarakea wanateseka sana kwa kukosa maji. Tunaomba Serikali isikilize kilio chao na kuhakikisha wanapata huduma ya maji safi na salama kama wananchi wengine.
Ardhi ya kule kwa kasongo ni muzuri sana Kwa kilimo msee. Huwezi linganisha na ya Singida.Nadhani kwenu ndo habari mpya sisi maji tunapata Kenya kitambo mno mno mno, aseeh
Anayejua kwa yoshua maji ya ku pampu, na entarara kwingine nimesahau
Sisi hata kulima ni huko kwa kasongo aseeh,, sie so news Bali ni oldies
Cc Supapawa mbamizwa wa mkuu
Naam na kule juu tunalimanga mahindi ya kuchoma ama kupika githeri maarufu km mkohoro mazee, na sukuma wiki kwa wingiArdhi ya kule kwa kasongo ni muzuri sana Kwa kilimo msee. Huwezi linganisha na ya Singida.
Kubugia githeri nyingi huwanga ngori.Naam na kule juu tunalimanga mahindi ya kuchoma ama kupika githeri maarufu km mkohoro mazee, na sukuma wiki kwa wingi
Wachana na habari za kupikwaUmenikumbusha enzi za wanawake wa rombo kufuata wanaume kule Kenya
π ππππ€£π€©π₯°πRombo Kama Rombo Inasimama YenyeweUmenikumbusha enzi za wanawake wa rombo kufuata wanaume kule Kenya