Sir Kisesa
Member
- Jan 30, 2020
- 25
- 23
Ahsante boss kwa sasa nimepata dubai nyama ya mbuzi, china tafatilia piaNyama ya ng'ombe China kilo inachezea Laki ..hili soko zuri sana ukipata fursa ya kuexport
Hizi habari umezitoa wapi mkuu ? Au ni Ng'ombe wa aina gani i.e. wamekidhi vigezo gani ?Nyama ya ng'ombe China kilo inachezea Laki ..hili soko zuri sana ukipata fursa ya kuexport
Kwa soko la dubai kuwa nalo makini kidogo, nilisikia wamekataza kupokea nyama kutoka slaughtering house zingine yeyote TZ, isipokuwa 'kwa msomali- kibaha' na 'kuna mhindi yupo - arusha'. Fuatilia.Ahsante boss kwa sasa nimepata dubai nyama ya mbuzi, china tafatilia pia
Vingunguti kuna baadhi ya vitu wanamlizia kufanyw registration ili warusiwe ku export Nyama.Kwa soko la dubai kuwa nalo makini kidogo, nilisikia wamekataza kupokea nyama kutoka slaughtering house zingine yeyote TZ, isipokuwa 'kwa msomali- kibaha' na 'kuna mhindi yupo - arusha'. Fuatilia.
Na hawa wadau wawili hawaruhusu mtu mwingine kuchinjia kwao. Wanakwambia tupe huyo mteja wako tutampelekea sisi, Kama Cartel fulani wamejitengenezea, na wizara husika ipo kimya tu. Haya.
Kuna slaughering house ipo ruvu ndo wanasubiria vibali sina uhakika kama wameshapata, hawa waliruhusu watu wa kawaida kuchinjia kwao. Wacheck.
So jiridhishe kwanza na hizo taarifa usije fikisha mzigo ukawa rejected uka pata hasara.
Ila kama una updates mpya weka hapa ufaidishe na wengine. Maana mambo yanabadilika kila siku.