Tetesi: Taratibu baada ya kunoga TTCL inakufa, Mixx by YAS yachukua nafasi ofisi za umma

Tetesi: Taratibu baada ya kunoga TTCL inakufa, Mixx by YAS yachukua nafasi ofisi za umma

Rostam kamilikishwa kila kitu, lakini nyuma yake kuna wahusika ambao wanatafuta parking ya mabilioni waliyochota
 
Taarifa zisizo rasmi ni kwamba baadhi ya ofisi za umma wameelekezwa kuanza kutumia Yas. Kwahiyo shirika letu la umma ambalo awamu ya 5 ilijitahidi kurirudisha kwenye ushindani sasa mambo ni tofauti.

Je, mmiliki wa Yas ni nani? Ukute ndo Hawa madalali
ROSTAM AZIZI ROSTAM AZIZI ROSTAM AZIZI
 
Taarifa zisizo rasmi ni kwamba baadhi ya ofisi za umma wameelekezwa kuanza kutumia Yas. Kwahiyo shirika letu la umma ambalo awamu ya 5 ilijitahidi kurirudisha kwenye ushindani sasa mambo ni tofauti.

Je, mmiliki wa Yas ni nani? Ukute ndo Hawa madalali
Rostam Aziz.
 
Unjua warudishwa nyuma ?
mipango mikakati wamesbapanga nadhani vigogo
Mwaziri Huwa wanaenda tu na kuchua posho bas
Inaku hivi kesho wanakuja kukufungiajioni wanakata fibier

Duu yapo mengi ya hujuma kwa ttcl
 
Mabwege hao mradi wa fiber huku mtaani ungewapa pesa nyingi mno ila sasa kuipata fiber yao inakupasa ukae miaka miwili
Hao policy yao imebase kwa taasisi na makampuni makubwa, wanaingiza hela nyingi kuliko unavyo fikiria nchi jirani nyingi wanazisambazia internet
Mteja wa 50k wao ni kama hasara
 
Haitakiwi wao kushea nguzo/miundo mbinu ya mwingine bila kuwepo na makubaliano maalumu.
Yaani hadi imefika ilipo Kuna sehemu imepita kwenye nguzo za umeme pale ambapo hakuna nguzo ya umeme ndio wameweka yao labda Kama wameibjia tu kitu ambacho siamini
 
Back
Top Bottom