Fursa fursanaWakuu,
Naona tunazidi kuingiza siasa kwenye michezo, mwisho timu hizi za mpira zitakuwa hazina tofauti na wasanii wanaotumiwa kutumbuiza na kuimba mapambio kwaajili ya wanasiasa.
TFF kwanini maacha haya yatokee? Wanachi wameshapoteza mzuka kwenye timu ya taifa sababu ya hili hili halafu mnaacha yaingie na kwenye timu ili soka bongo life! Maana huku tunaelekea kufungiwa.
Sasa watawekaje bila kuwapa na size Mshangazi?Waweke na pichu yangu tafadhali
Nasisita ni pichu. Sio picha
Mshangazi unawashwa!Waweke na pichu yangu tafadhali
Nasisita ni pichu. Sio picha
FIFA inakataza siasa kuingilia Mpira sio Mpira kuingilia SIASA.Nawaomba FIFA walimulike na soka la Tanzania lifungiwe tu Uanachama. Maana huu umeshaaanza kuwa ujinga sasa