Taratibu inaanza kuwa kawaida kuwa na picha za wanasaisa kwenye jezi za timu, mwisho timu zitakuwa kama vikundi vya wanasesere kwa wanasiasa

Taratibu inaanza kuwa kawaida kuwa na picha za wanasaisa kwenye jezi za timu, mwisho timu zitakuwa kama vikundi vya wanasesere kwa wanasiasa

Wakuu,

Naona tunazidi kuingiza siasa kwenye michezo, mwisho timu hizi za mpira zitakuwa hazina tofauti na wasanii wanaotumiwa kutumbuiza na kuimba mapambio kwaajili ya wanasiasa.

TFF kwanini maacha haya yatokee? Wanachi wameshapoteza mzuka kwenye timu ya taifa sababu ya hili hili halafu mnaacha yaingie na kwenye timu ili soka bongo life! Maana huku tunaelekea kufungiwa.

Wameona mpira una mashabiki wengi so hawataki kuchukulia huo mtaji for granted japo kiukweli mpira unatakiwa uwe mpira na siasa iwe tu siasa
 
Back
Top Bottom