THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Dini zipo karne na karne?We andika tu kama unekatwa kichwa. Serikali zinapita ila dini zipo karne na karne. Usicheze na wamilki wa dunia.
TEC shilkilieni hapo hapo, wahuni wameanza kutoka mashimoni.nchi hii ina taasisi nyingi za dini,nyinyi TEC na wakolole hamna uspecial wowote
Mbona unasema SISI as if na wewe ni kiongozi wa serikali? πππ...sisi haitupunguzii wala kutuongezea chochote
Hawana wa kumtisha hao,wao ndiyo wanufaika wakubwa wa fedha za umma kwa MOU kati yao na serikali...TEC shilkilieni hapo hapo, wahuni wameanza kutoka mashimoni
Wewe ni mpuuziFriends and our enemies,
Naanza na maaskofu,nyinyi maaskofu baadhi yenu mna kiburi sana..
Mnataka serikali iwapigie magoti kwani inawajibika kwenu au kwa wananchi?
Tambueni kazi yenu ya kuwa viongozi wa dini ni kazi ya wito na kumtumikia mungu,ikiwemo na kuongoza waumini wenu.
Ni kazi yenu sawa kukemea mabaya na kuhimiza mema na mazuri,lakini mnajisahau na kudhani kuwa nyinyi ndie wenye mamlaka na dola ya kuongoza nchi hii.
Maaskofu mnasahau kuwa mnachukua fedha nyingi sana za kodi zetu kwa kupitia MOU kati yenu na serikali kwa minajili ya huduma za afya,hapo hapo huduma hizo bado hazieleweki na sisi walalahoi tukija huko hospitalin bado tunalipishwa.
Leo mnakuja na matamko ambayo hayana kichwa wala miguu na kusema kwamba eti hamtaruhusu viongozi wa serikali kutoa neno kwenye nyumba zenu za ibada,aliewaambia kuwa serikali ina haja sana ya kutoa neno kwenye mimbari zenu ni nani?
Serikali haina dini,viongozi wa serikali ni waumini wenu,ni hiyari yenu kuwaalika au kutowaalika,sisi haitupunguzii wala kutuongezea chochote,kwahiyo mikwala yenu haina maana.
Wengine mfano kama Gwajima na wenzake kama Kitima,wameacha moja kwa moja kazi yao ya kuchunga kondoo wao wamegeuka kuwa allies wa vyama vya upinzani kwenye kueneza ajenda zao,serikali wakisimama kwenye haki na utaratibu wanageuka na kutoa vilio vya udini,eti ya kwamba wanataka uhuru wa kufanya ibada.
Sasa,kama uhuru wa ibada mnapewa kisha mnageuza platforms za makanisa kuwa sehemu ya kuhubiri minyukano ya kisiasa dhidi ya serikali why msichukuliwe hatua ikiwemo na kuyafuta hayo makanisa?
Sasa,tusione wabaya...nchi hii ina taasisi nyingi za dini,nyinyi TEC na wakolole hamna uspecial wowote wa kutaka kuipa amri au masharti serikali.
NCHI HII HAINA DINI,KAMA MNATAKA UHURU WA KUIPANGIA SERIKALI NENDENI VATICAN.
Iran kafanya Retalliation kwa Taifa la Mungu.Trump kaingia Iran kafanya yake kaondoka
Dunia ina uonezi sana πΌ
Kanisa katoriki siyo BAKWATA kwamba ati upewe ubwabwa tu ukrnue meno na kilemba chako. Hapana
Ikifutwa Iran ndio basi tena tuabakia na Waislamu wa DubaiIran kafanya Retalliation kwa Taifa la Mungu.
Na Mungu wao kala kona,amewaacha pekeyao,patam hapo...
Wewe ni kima kama kima wengine!Friends and our enemies,
Naanza na maaskofu,nyinyi maaskofu baadhi yenu mna kiburi sana..
Mnataka serikali iwapigie magoti kwani inawajibika kwenu au kwa wananchi?
Tambueni kazi yenu ya kuwa viongozi wa dini ni kazi ya wito na kumtumikia mungu,ikiwemo na kuongoza waumini wenu.
Ni kazi yenu sawa kukemea mabaya na kuhimiza mema na mazuri,lakini mnajisahau na kudhani kuwa nyinyi ndie wenye mamlaka na dola ya kuongoza nchi hii.
Maaskofu mnasahau kuwa mnachukua fedha nyingi sana za kodi zetu kwa kupitia MOU kati yenu na serikali kwa minajili ya huduma za afya,hapo hapo huduma hizo bado hazieleweki na sisi walalahoi tukija huko hospitalin bado tunalipishwa.
Leo mnakuja na matamko ambayo hayana kichwa wala miguu na kusema kwamba eti hamtaruhusu viongozi wa serikali kutoa neno kwenye nyumba zenu za ibada,aliewaambia kuwa serikali ina haja sana ya kutoa neno kwenye mimbari zenu ni nani?
Serikali haina dini,viongozi wa serikali ni waumini wenu,ni hiyari yenu kuwaalika au kutowaalika,sisi haitupunguzii wala kutuongezea chochote,kwahiyo mikwala yenu haina maana.
Wengine mfano kama Gwajima na wenzake kama Kitima,wameacha moja kwa moja kazi yao ya kuchunga kondoo wao wamegeuka kuwa allies wa vyama vya upinzani kwenye kueneza ajenda zao,serikali wakisimama kwenye haki na utaratibu wanageuka na kutoa vilio vya udini,eti ya kwamba wanataka uhuru wa kufanya ibada.
Sasa,kama uhuru wa ibada mnapewa kisha mnageuza platforms za makanisa kuwa sehemu ya kuhubiri minyukano ya kisiasa dhidi ya serikali why msichukuliwe hatua ikiwemo na kuyafuta hayo makanisa?
Sasa,tusionane wabaya...nchi hii ina taasisi nyingi za dini,nyinyi TEC na wakolole hamna uspecial wowote wa kutaka kuipa amri au masharti serikali.
NCHI HII HAINA DINI,KAMA MNATAKA UHURU WA KUIPANGIA SERIKALI NENDENI VATICAN.
Mwaposa naye si anafufua misukuleDini zipo karne na karne?
Hii ya Gwajima ya kufufua misukule?
Dini lazima ziwe na heshima kwa watu wenye mamlaka.
Ifuteni basi katoliki, halafu Gwajima aliongea siasa au alikemea utekaji?Friends and our enemies,
Naanza na maaskofu,nyinyi maaskofu baadhi yenu mna kiburi sana..
Mnataka serikali iwapigie magoti kwani inawajibika kwenu au kwa wananchi?
Tambueni kazi yenu ya kuwa viongozi wa dini ni kazi ya wito na kumtumikia mungu,ikiwemo na kuongoza waumini wenu.
Ni kazi yenu sawa kukemea mabaya na kuhimiza mema na mazuri,lakini mnajisahau na kudhani kuwa nyinyi ndie wenye mamlaka na dola ya kuongoza nchi hii.
Maaskofu mnasahau kuwa mnachukua fedha nyingi sana za kodi zetu kwa kupitia MOU kati yenu na serikali kwa minajili ya huduma za afya,hapo hapo huduma hizo bado hazieleweki na sisi walalahoi tukija huko hospitalin bado tunalipishwa.
Leo mnakuja na matamko ambayo hayana kichwa wala miguu na kusema kwamba eti hamtaruhusu viongozi wa serikali kutoa neno kwenye nyumba zenu za ibada,aliewaambia kuwa serikali ina haja sana ya kutoa neno kwenye mimbari zenu ni nani?
Serikali haina dini,viongozi wa serikali ni waumini wenu,ni hiyari yenu kuwaalika au kutowaalika,sisi haitupunguzii wala kutuongezea chochote,kwahiyo mikwala yenu haina maana.
Wengine mfano kama Gwajima na wenzake kama Kitima,wameacha moja kwa moja kazi yao ya kuchunga kondoo wao wamegeuka kuwa allies wa vyama vya upinzani kwenye kueneza ajenda zao,serikali wakisimama kwenye haki na utaratibu wanageuka na kutoa vilio vya udini,eti ya kwamba wanataka uhuru wa kufanya ibada.
Sasa,kama uhuru wa ibada mnapewa kisha mnageuza platforms za makanisa kuwa sehemu ya kuhubiri minyukano ya kisiasa dhidi ya serikali why msichukuliwe hatua ikiwemo na kuyafuta hayo makanisa?
Sasa,tusionane wabaya...nchi hii ina taasisi nyingi za dini,nyinyi TEC na wakolole hamna uspecial wowote wa kutaka kuipa amri au masharti serikali.
NCHI HII HAINA DINI,KAMA MNATAKA UHURU WA KUIPANGIA SERIKALI NENDENI VATICAN.
Sisi wananchi,kelele za TEC hazitupi mchecheto wowote,kwahiyo hizo waraka zao wakafungie nyama za kitimoto.Mbona unasema SISI as if na wewe ni kiongozi wa serikali? πππ
Friends and our enemies,
Naanza na maaskofu,nyinyi maaskofu baadhi yenu mna kiburi sana..
Mnataka serikali iwapigie magoti kwani inawajibika kwenu au kwa wananchi?
Tambueni kazi yenu ya kuwa viongozi wa dini ni kazi ya wito na kumtumikia mungu,ikiwemo na kuongoza waumini wenu.
Ni kazi yenu sawa kukemea mabaya na kuhimiza mema na mazuri,lakini mnajisahau na kudhani kuwa nyinyi ndie wenye mamlaka na dola ya kuongoza nchi hii.
Maaskofu mnasahau kuwa mnachukua fedha nyingi sana za kodi zetu kwa kupitia MOU kati yenu na serikali kwa minajili ya huduma za afya,hapo hapo huduma hizo bado hazieleweki na sisi walalahoi tukija huko hospitalin bado tunalipishwa.
Leo mnakuja na matamko ambayo hayana kichwa wala miguu na kusema kwamba eti hamtaruhusu viongozi wa serikali kutoa neno kwenye nyumba zenu za ibada,aliewaambia kuwa serikali ina haja sana ya kutoa neno kwenye mimbari zenu ni nani?
Serikali haina dini,viongozi wa serikali ni waumini wenu,ni hiyari yenu kuwaalika au kutowaalika,sisi haitupunguzii wala kutuongezea chochote,kwahiyo mikwala yenu haina maana.
Wengine mfano kama Gwajima na wenzake kama Kitima,wameacha moja kwa moja kazi yao ya kuchunga kondoo wao wamegeuka kuwa allies wa vyama vya upinzani kwenye kueneza ajenda zao,serikali wakisimama kwenye haki na utaratibu wanageuka na kutoa vilio vya udini,eti ya kwamba wanataka uhuru wa kufanya ibada.
Sasa,kama uhuru wa ibada mnapewa kisha mnageuza platforms za makanisa kuwa sehemu ya kuhubiri minyukano ya kisiasa dhidi ya serikali why msichukuliwe hatua ikiwemo na kuyafuta hayo makanisa?
Sasa,tusionane wabaya...nchi hii ina taasisi nyingi za dini,nyinyi TEC na wakolole hamna uspecial wowote wa kutaka kuipa amri au masharti serikali.
NCHI HII HAINA DINI,KAMA MNATAKA UHURU WA KUIPANGIA SERIKALI NENDENI VATICAN.
Ijaribu ione,huyo gwajima fyoko fyoko zake kiko wapi sasa.??Ifuteni basi katoliki, halafu Gwajima aliongea siasa au alikemea utekaji?