Taratibu jamani hayaa, tutaonana wabaya hayaaa, viongozi wa dini hususani maaskofu

Taratibu jamani hayaa, tutaonana wabaya hayaaa, viongozi wa dini hususani maaskofu

Ila viongozi wa serikali wakishiriki kwenye harambeee ya kuchangia makanisa hakuna shida siyo?
Hatutaki hizo harambee na ushiriki wao kwa sababu wanatoa hela za ufisadi na ndio maana huko KKKT miradi mingi imedumaa kama ya serikali.
 
Kwahiyo siku hizi watu wakiweka utaratibu wao kuwa hawataki mtu yoyote hata wa humo kwao kuzungumza mambo ambayo sio ya dini ni kosa?

Kwani wamemtaja mtu hapo?

Ni sawa na mtu kuweka utaratibu kwake mfano familia ya fulani wasije nyumbani kwake hapo kuna kosa gani?
 
Back
Top Bottom