Taratibu jamani hayaa, tutaonana wabaya hayaaa, viongozi wa dini hususani maaskofu

Friends and our enemies,

Naanza na maaskofu,nyinyi maaskofu baadhi yenu mna kiburi sana..
Mnataka serikali iwapigie magoti kwani inawajibika kwenu au kwa wananchi?

Tambueni kazi yenu ya kuwa viongozi wa dini ni kazi ya wito na kumtumikia mungu,ikiwemo na kuongoza waumini wenu.

Ni kazi yenu sawa kukemea mabaya na kuhimiza mema na mazuri,lakini mnajisahau na kudhani kuwa nyinyi ndie wenye mamlaka na dola ya kuongoza nchi hii.

Maaskofu mnasahau kuwa mnachukua fedha nyingi sana za kodi zetu kwa kupitia MOU kati yenu na serikali kwa minajili ya huduma za afya,hapo hapo huduma hizo bado hazieleweki na sisi walalahoi tukija huko hospitalin bado tunalipishwa.

Leo mnakuja na matamko ambayo hayana kichwa wala miguu na kusema kwamba eti hamtaruhusu viongozi wa serikali kutoa neno kwenye nyumba zenu za ibada,aliewaambia kuwa serikali ina haja sana ya kutoa neno kwenye mimbari zenu ni nani?

Serikali haina dini,viongozi wa serikali ni waumini wenu,ni hiyari yenu kuwaalika au kutowaalika,sisi haitupunguzii wala kutuongezea chochote,kwahiyo mikwala yenu haina maana.

Wengine mfano kama Gwajima na wenzake kama Kitima,wameacha moja kwa moja kazi yao ya kuchunga kondoo wao wamegeuka kuwa allies wa vyama vya upinzani kwenye kueneza ajenda zao,serikali wakisimama kwenye haki na utaratibu wanageuka na kutoa vilio vya udini,eti ya kwamba wanataka uhuru wa kufanya ibada.

Sasa,kama uhuru wa ibada mnapewa kisha mnageuza platforms za makanisa kuwa sehemu ya kuhubiri minyukano ya kisiasa dhidi ya serikali why msichukuliwe hatua ikiwemo na kuyafuta hayo makanisa?

Sasa,tusionane wabaya...nchi hii ina taasisi nyingi za dini,nyinyi TEC na wakolole hamna uspecial wowote wa kutaka kuipa amri au masharti serikali.

NCHI HII HAINA DINI,KAMA MNATAKA UHURU WA KUIPANGIA SERIKALI NENDENI VATICAN.
Uhuru wa Ibada ni wa Mwenyezi Mungu mwenyewe na si wa Serikali.
 
Bado najiuliza kwanini umeandika huu uzi kama hakuna issue yeyote kwa viongozi wa serikali kutoa neno kwenye mimbari za makanisa.
 
Viongozi wa dini ni wajibu wao kukemea pale mambo yanapotendwa sivyo, kazi inabaki Kwa serikali kukaidi au kuendelea na matendo hayo yasiyo faa.
 
Mleta mada utakuwa mwalimu wa mipasho wa Bi-mkubwa, si kwa mipasho hiyo!
 
Jaribuni muone , hatujioneshe polisi wenu mwaka huu watakiona haswa.
Tumejipanga

No reforms no election
Kawaambie na wenzako kina

1.Faustine Mafwele
2.Thobias Mwesigwa
3.Paul Makonda
4.Wazir Rajabu
5.Mohamed Mchegerwa
6.Abdul
7.Steve Nyerere
Aisee
 
kumtisha hao,wao ndiyo wanufaika wakubwa wa fedha za umma kwa MOU kati yao na serikali...

Hawana uspecial huo,mtu unaemlisha anapata wapi jeuri ya kutunisha misuli?

Sijui nilitaka kuandika nini.

Lkn naona kama kuna uhusiano Kati ya TEC na Deep State

Ni kama maelekezo ya deep state kwa TEC
 
Hawana wa kumtisha hao,wao ndiyo wanufaika wakubwa wa fedha za umma kwa MOU kati yao na serikali...

Hawana uspecial huo,mtu unaemlisha anapata wapi jeuri ya kutunisha misuli?
Kwa mnajua mnawalisha yanini kuliakulia baada ya kupigwa pini? Tuone jeuri yenu sasa nyie waomani.
 
Nenda wewe huko Uarabuni walikozoea kuuana. Tanganyika ni ya Watanganyika, hakuna wa kuwaondoa watanganyika kwenye nchi ambayo Mungu aliwapa. Mtaondoka ninyi ambao baba zenu walikuja na mashua.
Hii ndiyo point ya msingi Watanganyika hatujazoea kutekana.
 
Friends and our enemies,

Naanza na maaskofu,nyinyi maaskofu baadhi yenu mna kiburi sana..
Mnataka serikali iwapigie magoti kwani inawajibika kwenu au kwa wananchi?

Tambueni kazi yenu ya kuwa viongozi wa dini ni kazi ya wito na kumtumikia mungu,ikiwemo na kuongoza waumini wenu.

Ni kazi yenu sawa kukemea mabaya na kuhimiza mema na mazuri,lakini mnajisahau na kudhani kuwa nyinyi ndie wenye mamlaka na dola ya kuongoza nchi hii.

Maaskofu mnasahau kuwa mnachukua fedha nyingi sana za kodi zetu kwa kupitia MOU kati yenu na serikali kwa minajili ya huduma za afya,hapo hapo huduma hizo bado hazieleweki na sisi walalahoi tukija huko hospitalin bado tunalipishwa.

Leo mnakuja na matamko ambayo hayana kichwa wala miguu na kusema kwamba eti hamtaruhusu viongozi wa serikali kutoa neno kwenye nyumba zenu za ibada,aliewaambia kuwa serikali ina haja sana ya kutoa neno kwenye mimbari zenu ni nani?

Serikali haina dini,viongozi wa serikali ni waumini wenu,ni hiyari yenu kuwaalika au kutowaalika,sisi haitupunguzii wala kutuongezea chochote,kwahiyo mikwala yenu haina maana.

Wengine mfano kama Gwajima na wenzake kama Kitima,wameacha moja kwa moja kazi yao ya kuchunga kondoo wao wamegeuka kuwa allies wa vyama vya upinzani kwenye kueneza ajenda zao,serikali wakisimama kwenye haki na utaratibu wanageuka na kutoa vilio vya udini,eti ya kwamba wanataka uhuru wa kufanya ibada.

Sasa,kama uhuru wa ibada mnapewa kisha mnageuza platforms za makanisa kuwa sehemu ya kuhubiri minyukano ya kisiasa dhidi ya serikali why msichukuliwe hatua ikiwemo na kuyafuta hayo makanisa?

Sasa,tusionane wabaya...nchi hii ina taasisi nyingi za dini,nyinyi TEC na wakolole hamna uspecial wowote wa kutaka kuipa amri au masharti serikali.

NCHI HII HAINA DINI,KAMA MNATAKA UHURU WA KUIPANGIA SERIKALI NENDENI VATICAN.
Mwambie huyo Bibi afute hiyo MOU.

Kwani LAZIMA.

Hakuna Kanisa masikini.

Msheikh ndio wanaishi kama omba omba mpaka LUKU za misikitini.
 
1. Kikatiba, Tanzania ni nchi isiyo na dini lakini inatambua haki ya kila mtu kuabudu na kujieleza. Ibara ya 19 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inampa kila mtu uhuru wa imani, na Ibara ya 18 inampa uhuru wa kutoa maoni. Kwa hiyo, viongozi wa dini wana haki ya kutoa kauli kuhusu mwenendo wa taifa kama sehemu ya kutimiza wajibu wao wa kiroho na kijamii. Kukemea uovu si ushindani wa kisiasa, bali ni sehemu ya wito wao wa kuwahudumia waumini kwa misingi ya maadili.

2. Kuhusu Mikataba ya Makubaliano (MoU) kati ya serikali na taasisi za dini, hizi taasisi zimekuwa nguzo muhimu katika kutoa huduma za afya na elimu kwa miongo kadhaa. Kwa mfano, kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya (2022), zaidi ya 40% ya huduma za afya nchini hutolewa na taasisi za kidini kama TEC, CCT na BAKWATA. Serikali huchangia sehemu ya gharama hizo kupitia misaada ya mishahara na vifaa, lakini taasisi hizi hulazimika kutoza ada za huduma ili kufidia gharama nyingine zisizofidiwa na serikali.

3. Suala la baadhi ya viongozi wa dini kujihusisha na masuala ya kijamii au hata kutoa maoni yanayogusa siasa si jambo jipya duniani. Hii haimaanishi kuwa wanakuwa wanasiasa, bali ni kuonesha mshikamano na changamoto zinazowakabili waumini wao. Kama viongozi wa serikali ni waumini wao, basi ni haki kwa viongozi wa dini kuwakumbusha misingi ya haki na maadili wanapokengeuka. Kukosoa si uasi; ni mchango wa ujenzi wa taifa.

4. Kusema kwamba makanisa yafungwe au viongozi wa dini wachukuliwe hatua kwa kutoa maoni ya kisiasa ni kauli ya hatari inayoweza kufifisha demokrasia na uhuru wa ibada. Kwenye nchi yoyote inayoheshimu uhuru wa kuabudu, dini huwa na nafasi ya kipekee katika kulinda amani, mshikamano na maadili ya taifa. Utafiti wa Afrobarometer (2021) ulionesha kuwa 67% ya Watanzania huamini zaidi taasisi za kidini kuliko wanasiasa katika kupata mwongozo wa maadili.

5. Mwisho, ni muhimu kutambua kuwa nchi hii si mali ya kundi la watu au taasisi fulani, bali ya Watanzania wote. Badala ya kutishiana au kubeza mchango wa dini, ni busara serikali kushirikiana na viongozi wa dini kama wadau wa maendeleo na walinzi wa maadili. Kauli zenye dharau kama "nendeni Vatican" hazijengi, bali zinadhoofisha mshikamano wa kitaifa. Tujenge taifa letu kwa kuheshimiana, kusikilizana na kushirikiana kwa masilahi ya wote.
 
Asante sana.
 
Hawana wa kumtisha hao,wao ndiyo wanufaika wakubwa wa fedha za umma kwa MOU kati yao na serikali...

Hawana uspecial huo,mtu unaemlisha anapata wapi jeuri ya kutunisha misuli?
Pole sana.Hujui usemalo.Kumbuka kuwa makubaliano ya kufanya PPP na Kanisa katoliki yalifanywa enzi za Mwinyi ambapo Serikali yake iliwaomba Kanisa lisaidie baadhi ya huduma baada ya Serikali kuelemewa.
Dk.Slaa ameeleza kwa ufasaha kwenye kitabu chake kinachoitwa : Nyuma ya Pazia,Jinsi Chadema ilivyosalitiwa Mwaka 2015.

Ni kwamba Serikali ndiyo inasaidiwa kwa yenyewe kutoa ruzuku kidogo tu ambayo haitoshi kwa baadhi ya huduma ambazo zinasimamiwa na Kanisa Katoliki na KKKT.
 
Friends and our enemies,

Naanza na maaskofu,nyinyi maaskofu baadhi yenu mna kiburi sana..
Mnataka serikali iwapigie magoti kwani inawajibika kwenu au kwa wananchi?

Tambueni kazi yenu ya kuwa viongozi wa dini ni kazi ya wito na kumtumikia mungu,ikiwemo na kuongoza waumini wenu.

Ni kazi yenu sawa kukemea mabaya na kuhimiza mema na mazuri,lakini mnajisahau na kudhani kuwa nyinyi ndie wenye mamlaka na dola ya kuongoza nchi hii.

Maaskofu mnasahau kuwa mnachukua fedha nyingi sana za kodi zetu kwa kupitia MOU kati yenu na serikali kwa minajili ya huduma za afya,hapo hapo huduma hizo bado hazieleweki na sisi walalahoi tukija huko hospitalin bado tunalipishwa.

Leo mnakuja na matamko ambayo hayana kichwa wala miguu na kusema kwamba eti hamtaruhusu viongozi wa serikali kutoa neno kwenye nyumba zenu za ibada,aliewaambia kuwa serikali ina haja sana ya kutoa neno kwenye mimbari zenu ni nani?

Serikali haina dini,viongozi wa serikali ni waumini wenu,ni hiyari yenu kuwaalika au kutowaalika,sisi haitupunguzii wala kutuongezea chochote,kwahiyo mikwala yenu haina maana.

Wengine mfano kama Gwajima na wenzake kama Kitima,wameacha moja kwa moja kazi yao ya kuchunga kondoo wao wamegeuka kuwa allies wa vyama vya upinzani kwenye kueneza ajenda zao,serikali wakisimama kwenye haki na utaratibu wanageuka na kutoa vilio vya udini,eti ya kwamba wanataka uhuru wa kufanya ibada.

Sasa,kama uhuru wa ibada mnapewa kisha mnageuza platforms za makanisa kuwa sehemu ya kuhubiri minyukano ya kisiasa dhidi ya serikali why msichukuliwe hatua ikiwemo na kuyafuta hayo makanisa?

Sasa,tusionane wabaya...nchi hii ina taasisi nyingi za dini,nyinyi TEC na wakolole hamna uspecial wowote wa kutaka kuipa amri au masharti serikali.

NCHI HII HAINA DINI,KAMA MNATAKA UHURU WA KUIPANGIA SERIKALI NENDENI VATICAN.
Wewe ni mpumbavu wa mwisho kabisa, yaani hujui kitu, kanisa Katoliki Lina mfumo wa ibada Ulimwengu mzima, wakati wa ibada sio wakati wa mpumbavu mmoja kujipatia political mileage!!

Waongee mambo hayo huko kwenu msiktini, na kanisa katoliki likitoa MISIMAMO wote wanafuata kuanzia juu mpaka chini ngazi ya Jumuiya.

Kama inakuuma anzisheni makanisa yenu ya mfukoni ili muwarhusu wanasiasa kuongea.

Sisi kanisa Katoliki hatutaki imetosha sana!!!
 
Wewe kikojozi huoni kuwa tamko hilo ndilo linaondoa siasa makanisani!?? Halafu mpuuzi mkubwa kama wewe ni kutisha taasisi kama hii? Haya mshauri huyu kilaza wa kizmkazi amteke askofu mmoja tu aone atakavyojamba bluu

Back
Top Bottom