Iambie serikali isikubali fedha zake zichotwe..Kama wana misimamo waambie waache kushrikiana na serikali kuchota fedha za walalahoi kwa gia ya MOU
Kwani hapa tupo Vatican hata Mkisususa sisi October tuta tiki tu!Kitu ambacho watu wengi hawajui ni kwamba
Viongozi wa dini wana watu ambao wanawatii kuliko viongozi wa Serikali
Serikali haiwezi kusema chukua tope la maji jipake usoni hakuna mwanainchi atafanya
Ila mwaposa akisema nawia mkojo wako watu millions watanawa
Sasa game inayokuja ni kila mtu awe busy na watu wake na hapo sasa ndio Patamu
Mwezi tangazo la waroma wote kutokupiga kura
Mngese weweNCHI HII HAINA DINI,KAMA MNATAKA UHURU WA KUIPANGIA SERIKALI NENDENI VATICAN.
Ndio maana mkaenda kumpiga na Chupa ya Bia kichwani au sio?Hawa TEC wamekuwa Political activist,
Huyu kitima atakuwa yupo kwenye payroll za NGO za nje ili kufanya chochezi za Kuchafua nchi
Ndio imeshasemwa na itakuwa hivyo, hii ni Roma locuta causa finita.Hawana wa kumtisha hao,wao ndiyo wanufaika wakubwa wa fedha za umma kwa MOU kati yao na serikali...
Hawana uspecial huo,mtu unaemlisha anapata wapi jeuri ya kutunisha misuli?
Hawa TEC wamekuwa Political activist,
Huyu kitima atakuwa yupo kwenye payroll za NGO za nje ili kufanya chochezi za Kuchafua nchi
Apigwe na nani? Yani mtu ashambuliwe ndani ya Compound yao? Hamna camera wala walinzi? Uhuni tu kutaka TensionNdio maana mkaenda kumpiga na Chupa ya Bia kichwani au sio?
Hamna lolote,hamuwezi kuipangia serikaliNdio imeshasemwa na itakuwa hivyo, hii ni Roma locuta causa finita.
Hutaki andamana
Akili zao ni za hovyo sana...Apigwe na nani? Yani mtu ashambuliwe ndani ya Compound yao? Hamna camera wala walinzi? Uhuni tu kutaka Tension
Majimbo yapo kama anataka Sympathy ya Jamii aje agombee Nafasi za Kisiasa ikiwa amechoka Kuchunga kondoo
Friends and our enemies,
Naanza na maaskofu,nyinyi maaskofu baadhi yenu mna kiburi sana..
Mnataka serikali iwapigie magoti kwani inawajibika kwenu au kwa wananchi?
Tambueni kazi yenu ya kuwa viongozi wa dini ni kazi ya wito na kumtumikia mungu,ikiwemo na kuongoza waumini wenu.
Ni kazi yenu sawa kukemea mabaya na kuhimiza mema na mazuri,lakini mnajisahau na kudhani kuwa nyinyi ndie wenye mamlaka na dola ya kuongoza nchi hii.
Maaskofu mnasahau kuwa mnachukua fedha nyingi sana za kodi zetu kwa kupitia MOU kati yenu na serikali kwa minajili ya huduma za afya,hapo hapo huduma hizo bado hazieleweki na sisi walalahoi tukija huko hospitalin bado tunalipishwa.
Leo mnakuja na matamko ambayo hayana kichwa wala miguu na kusema kwamba eti hamtaruhusu viongozi wa serikali kutoa neno kwenye nyumba zenu za ibada,aliewaambia kuwa serikali ina haja sana ya kutoa neno kwenye mimbari zenu ni nani?
Serikali haina dini,viongozi wa serikali ni waumini wenu,ni hiyari yenu kuwaalika au kutowaalika,sisi haitupunguzii wala kutuongezea chochote,kwahiyo mikwala yenu haina maana.
Wengine mfano kama Gwajima na wenzake kama Kitima,wameacha moja kwa moja kazi yao ya kuchunga kondoo wao wamegeuka kuwa allies wa vyama vya upinzani kwenye kueneza ajenda zao,serikali wakisimama kwenye haki na utaratibu wanageuka na kutoa vilio vya udini,eti ya kwamba wanataka uhuru wa kufanya ibada.
Sasa,kama uhuru wa ibada mnapewa kisha mnageuza platforms za makanisa kuwa sehemu ya kuhubiri minyukano ya kisiasa dhidi ya serikali why msichukuliwe hatua ikiwemo na kuyafuta hayo makanisa?
Sasa,tusionane wabaya...nchi hii ina taasisi nyingi za dini,nyinyi TEC na wakolole hamna uspecial wowote wa kutaka kuipa amri au masharti serikali.
NCHI HII HAINA DINI,KAMA MNATAKA UHURU WA KUIPANGIA SERIKALI NENDENI VATICAN.
Inahusiana vipi na hii mada??Trump kaingia Iran kafanya yake kaondoka
Dunia ina uonezi sana 🐼
Kwa maelezo yako jhhasa hapo unnnaposema wao ndio wanufaika unataka kusemaje yaani lile deni la Taifa hawa ndio wana mgao zaidi kuliko serikali?Hawana wa kumtisha hao,wao ndiyo wanufaika wakubwa wa fedha za umma kwa MOU kati yao na serikali...
Hawana uspecial huo,mtu unaemlisha anapata wapi jeuri ya kutunisha misuli?
Wajaribu tuoneIfuteni basi katoliki, halafu Gwajima aliongea siasa au alikemea utekaji
Hata mimi nimeshangaa sanaaa kumbe kuna kitu kimeguswa sio bure🤣🤣🤣🤣Mbona mnalilia mimbari za watu jamani? Kwa kulikoni?
Hakuna mamlaka yenye guvu kuliko wananchi wake. Matahila wamelewa madaraka wanafikili nchi ni mali yao. Madaraka yote yanatoka kwa wananchi . Nyinyi vibaka wa ccm madaraka mmepewa na nani?Friends and our enemies,