Taratibu jamani hayaa, tutaonana wabaya hayaaa, viongozi wa dini hususani maaskofu

Damu ya mtu ni nzito IPO siku itanena kwenye familia yako .
Fedha zote za damu kutoka CCM unazo pata zitaishia
1.Kumuuguza Mama yako na stroke
2.Kumuuguza Baba yako na Kansa ya Tezi dume
3.Kumuuguza mwanao na ugonjwa wa Tundu kwenye moyo

No reforms no election .Amina

October Insha Allah,TUNATIKIII..

HUTAKI NENDA KAPIGANIE TAIFA LA MUNGU YERUSALEMU...MAANA SOON LITAFUTWA HUKO.
 
Friends and our enemies,

Naanza na maaskofu,nyinyi maaskofu baadhi yenu mna kiburi sana..
Mnataka serikali iwapigie magoti kwani inawajibika kwenu au kwa wananchi?

Tambueni kazi yenu ya kuwa viongozi wa dini ni kazi ya wito na kumtumikia mungu,ikiwemo na kuongoza waumini wenu.

Ni kazi yenu sawa kukemea mabaya na kuhimiza mema na mazuri,lakini mnajisahau na kudhani kuwa nyinyi ndie wenye mamlaka na dola ya kuongoza nchi hii.

Maaskofu mnasahau kuwa mnachukua fedha nyingi sana za kodi zetu kwa kupitia MOU kati yenu na serikali kwa minajili ya huduma za afya,hapo hapo huduma hizo bado hazieleweki na sisi walalahoi tukija huko hospitalin bado tunalipishwa.

Leo mnakuja na matamko ambayo hayana kichwa wala miguu na kusema kwamba eti hamtaruhusu viongozi wa serikali kutoa neno kwenye nyumba zenu za ibada,aliewaambia kuwa serikali ina haja sana ya kutoa neno kwenye mimbari zenu ni nani?

Serikali haina dini,viongozi wa serikali ni waumini wenu,ni hiyari yenu kuwaalika au kutowaalika,sisi haitupunguzii wala kutuongezea chochote,kwahiyo mikwala yenu haina maana.

Wengine mfano kama Gwajima na wenzake kama Kitima,wameacha moja kwa moja kazi yao ya kuchunga kondoo wao wamegeuka kuwa allies wa vyama vya upinzani kwenye kueneza ajenda zao,serikali wakisimama kwenye haki na utaratibu wanageuka na kutoa vilio vya udini,eti ya kwamba wanataka uhuru wa kufanya ibada.

Sasa,kama uhuru wa ibada mnapewa kisha mnageuza platforms za makanisa kuwa sehemu ya kuhubiri minyukano ya kisiasa dhidi ya serikali why msichukuliwe hatua ikiwemo na kuyafuta hayo makanisa?

Sasa,tusionane wabaya...nchi hii ina taasisi nyingi za dini,nyinyi TEC na wakolole hamna uspecial wowote wa kutaka kuipa amri au masharti serikali.

NCHI HII HAINA DINI,KAMA MNATAKA UHURU WA KUIPANGIA SERIKALI NENDENI VATICAN.
Sawa , umeleweka mtoto wa kahaba maushungi
 
Unadhihirisha kuwa hupo sawa!

Ebu leta kifungu cha katiba kinachoonesha kuwa serikali ikiteka au kuua, inatekeleza wajibu wake.

Unadhihirisha kuwa wewe siyo mzima ni hapo ulipozungumzia mambo ya MoU kwenye masuala ya tiba. Ebu leta uthibitisho wa kuonesha kanisa liliiomba Serikali kuwa na MoU. Kabla ya Serikali kuyaomba makanisa hospitali zao ziwe za umma, uliwahi kusikia hayo makanisa yaliwahi kuiomba serikali pesa? Kwa nini Serikali isijenge hospitali zake, halafu izirudishe hospitali za makanisa kwa makanisa? Au makanisa yameizuia serikali kujenga hospitali?

Kwa sababu dhuluma ni dhambi, kuteka na kuua watu ni dhambi, kamwe mapadre, wachungaji na maaskofu hawataacha kukemea. Mlitaka kumwua Fr. Kitima, Mungu kamwokoa na Mungu amewaonesha watanzania wanatawaliwa na watu wa namna gani. Na wala msifikirie uharamia mliomfanyia Fr. Kitima kutalinyamazisha kanisa.
 
Kama hutaki nenda Vatican,ila Insha Allah panapo majaliwa ya uhali sisi kama kawa,TUNATIKIII...

Nenda wewe huko Uarabuni walikozoea kuuana. Tanganyika ni ya Watanganyika, hakuna wa kuwaondoa watanganyika kwenye nchi ambayo Mungu aliwapa. Mtaondoka ninyi ambao baba zenu walikuja na mashua.
 
Friends and our enemies,

Naanza na maaskofu,nyinyi maaskofu baadhi yenu mna kiburi sana..
Mnataka serikali iwapigie magoti kwani inawajibika kwenu au kwa wananchi?

Tambueni kazi yenu ya kuwa viongozi wa dini ni kazi ya wito na kumtumikia mungu,ikiwemo na kuongoza waumini wenu.

Ni kazi yenu sawa kukemea mabaya na kuhimiza mema na mazuri,lakini mnajisahau na kudhani kuwa nyinyi ndie wenye mamlaka na dola ya kuongoza nchi hii.

Maaskofu mnasahau kuwa mnachukua fedha nyingi sana za kodi zetu kwa kupitia MOU kati yenu na serikali kwa minajili ya huduma za afya,hapo hapo huduma hizo bado hazieleweki na sisi walalahoi tukija huko hospitalin bado tunalipishwa.

Leo mnakuja na matamko ambayo hayana kichwa wala miguu na kusema kwamba eti hamtaruhusu viongozi wa serikali kutoa neno kwenye nyumba zenu za ibada,aliewaambia kuwa serikali ina haja sana ya kutoa neno kwenye mimbari zenu ni nani?

Serikali haina dini,viongozi wa serikali ni waumini wenu,ni hiyari yenu kuwaalika au kutowaalika,sisi haitupunguzii wala kutuongezea chochote,kwahiyo mikwala yenu haina maana.

Wengine mfano kama Gwajima na wenzake kama Kitima,wameacha moja kwa moja kazi yao ya kuchunga kondoo wao wamegeuka kuwa allies wa vyama vya upinzani kwenye kueneza ajenda zao,serikali wakisimama kwenye haki na utaratibu wanageuka na kutoa vilio vya udini,eti ya kwamba wanataka uhuru wa kufanya ibada.

Sasa,kama uhuru wa ibada mnapewa kisha mnageuza platforms za makanisa kuwa sehemu ya kuhubiri minyukano ya kisiasa dhidi ya serikali why msichukuliwe hatua ikiwemo na kuyafuta hayo makanisa?

Sasa,tusionane wabaya...nchi hii ina taasisi nyingi za dini,nyinyi TEC na wakolole hamna uspecial wowote wa kutaka kuipa amri au masharti serikali.

NCHI HII HAINA DINI,KAMA MNATAKA UHURU WA KUIPANGIA SERIKALI NENDENI VATICAN.
Maaskofu wa Kanisa Katoliki wanaaminika kuliko maaskofu wa kanisa lolote lililopo chini ya jua, Mama yenu alisema hakuna kuchanganya dini na siasa, akasahau kwamba ma ccm mmekuwa mkitumia madhabahu kutoa hotuba zenu.
Kwenye hili nasimama na TEC, na kama mna ubavu basi lifuteni kanisa katoliki.
 
Moja kati ya hasara ambayo kama taifa tumeingia, ni kundi la Wajinga kuwa sehemu ya Watawala wetu. Inaumiza sana, sijui ilikuwaje; ila tuta reset. Trust the time.
 
Kwani hao viongozi wako wamelazimishwa kuja kusali wanaweza kwenda msikitini wakapewa nafasi nakuomba usitutukanie viongozi wetu wa dini
 
Sisi wananchi,kelele za TEC hazitupi mchecheto wowote,kwahiyo hizo waraka zao wakafungie nyama za kitimoto.

Kwani wewe ni mwananchi? Ninyi waarabu koko kuna siku itabidi mwende kwenu maana mmekosa hekima, mmejaa ushetani na uovu.
 
We andika tu kama unekatwa kichwa. Serikali zinapita ila dini zipo karne na karne. Usicheze na wamilki wa dunia.
Tanzania Ipo kabla ya Uislamu na Ukiristo, hizi dini zitapita ila Tanzania itabaki

Hawa TEC kila siku nasema wamejawa na Kibuli na Kujiona special sana

Sasa tunasema hakuna mamlaka ndani ya Nchi Kuzidi Serikali
 
Back
Top Bottom