Taratibu jamani hayaa, tutaonana wabaya hayaaa, viongozi wa dini hususani maaskofu

Siku hizi Tanganyika haina waislamu wakuwatisha wagalatia

Jeshi la Mwamposa tu ni zaidi ya bakuata 😁
 

Sasa waroma msipopiga kura sisi inatuhusu nini?

Kwani hapa ni vatican?

Mkisusa kupiga kura sisi October Tunatiki tuh.
 
Nakuonea huruma sana wewe tafuta GABA uchangamshe akili. Kw Tanzania bila ya Katoliki siyo Nchi, kwani wewe health centres zote za wakati huo, na mashule yaliyotaifiswa na Nyerere aliykua ya nani? Na wewe ungesoma au ungetibiwa wapi? Hawa ndiyo waliangusha Soviet Union, sasa wewe unaanza kubwabwaja.

Atakaye kuchinja siyo kanisa katoliki, humo humo CCMusifikiri kuna watu wanafurahi haya maneno, itafika utashangaa hii nchi inakuwa Lebanoni. Mwaka 1975 ndipo walianza kujitambua haa, kumbe upande wangu ni upi. Hii mnaanza.

Maaskofu Mashehe hao waachie waongee maneno yao, ukianza hayo itakuja Groves off, na hiyo nyie ndiyo mmebarikiwa, na kila sehemu mnakung'utwa. Wewe umekuwa kinara mkubwa wa kuwahadaa maaskofu, na hao wafuasi wa maaskofu wakianza hatapakalika hapa.

Dunia watu wana co-exist, ukitaka ulimwengu wako basi yatakufkia kama unayoyaona Middle East sasa, Iran.
 
Moderator hizi post za CHUKI za kidini haxina afya kwa jamii yetu yenye uhuru wa kuabudu!!
 
Dini zipo karne na karne?

Hii ya Gwajima ya kufufua misukule?

Dini lazima ziwe na heshima kwa watu wenye mamlaka.
Mamlaka anayo Mungu tu, binadamu ni mpita njia tu hata awe na cheo gani. Tafakari kauli yako ukiwa umetulia na ushauri wangu ikikupendeza omba toba.
 
Aaah wapi,pesa za ummah hizo hizo wanazochukua kijanja janja hakuna la maana wanachofanya.

Hizo huduma sisi tunalipia,hao ni wezi tuh
Kwa hiyo huduma zinazotolewa kwa umma wa Watanzania kule Bugando, KCMC, Ndanda, SAUT, nk hazina maana?
Wacha udini wewe. Hata sisi waislamu tunanufaika sana na hizo huduma
 
No reform no election
 
Hawana wa kumtisha hao,wao ndiyo wanufaika wakubwa wa fedha za umma kwa MOU kati yao na serikali...

Hawana uspecial huo,mtu unaemlisha anapata wapi jeuri ya kutunisha misuli?
Tupr hiyo MoU tuione
 

Roma locuta, causa finita​

 
Wewe ni nani hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…