Hi all,
Nataka kuanza kusindika nafaka, hasa Mahindi, pia ninunue na kuhifadhi nafaka mbali mbali.Mpunga sitashughulika nao.
Nimetafiti na kupeleleza nikaambiwa hata ghara la kuhifadhia lazima lisajiriwe. TFDA nao wanaingia ndani, sijui TBS kama ni lazima kuwaona.
Sitajenga plant Dar,sababu jamaa wa REA wameleta habari njema ktk vijiji fulani huko Iringa ndani ndani. Ninachoomba kwa wadau wa jukwaa hili ni michango ya kuweza kulifanya zoezi hili liwe rahisi, si kwangu tu na wengine wanaotarajia kufanya biashara hii ya kusindika nafaka.
Maeneo ya kuchangia;
Ujenzi wa ghara, sifa na usajiri wake kwa mamlaka husika,
Usajiri wa jina la sembe itakayozalishwa,
Kibali toka TFDA/TBS,
Mashine za mradi ( kuna hizi za Ihemi Iringa- Sembe tofauti, inabidi tuzijue),
Madawa ya kuhifadhia nafaka na upatikanaji wake.
Karibuni.