Umeongea jambo zito sana ambalo watu wenye kuchambua mambo kwa makini wanajiuliza. Hivi kwa sasa nani anamtawala nani katika uongozi wa Tanzania?Kwa wanaosoma alama za nyakati kwasasa CCM haitajwi sana kama chama cha siasa ni chadema kwasasa ndio inayotajwa zaidi Kama chama Cha siasa Tena kinachoonewa na dola.
Kwasasa ni Polisi vs Chadema na sio Tena CCM vs chadema.
Mbaya zaidi polisi wanajua wanatumika vibaya Ila hawana ujanja wala pa kusemea.
Muda utaamuwa kati ya polisi vs Chadema Nani atakuwa mshindi Kama vile muda ulivyoitupa mkono CCM na kuibakiza Chadema kwenye medani za siasa Tanzania.
Aisee hili liko wazi kabisaa..Kwa wanaosoma alama za nyakati kwasasa CCM haitajwi sana kama chama cha siasa ni chadema kwasasa ndio inayotajwa zaidi Kama chama Cha siasa Tena kinachoonewa na dola.
Kwasasa ni Polisi vs Chadema na sio Tena CCM vs chadema.
Mbaya zaidi polisi wanajua wanatumika vibaya Ila hawana ujanja wala pa kusemea.
Muda utaamuwa kati ya polisi vs Chadema Nani atakuwa mshindi Kama vile muda ulivyoitupa mkono CCM na kuibakiza Chadema kwenye medani za siasa Tanzania.
Kwa wanaosoma alama za nyakati kwasasa CCM haitajwi sana kama chama cha siasa ni chadema kwasasa ndio inayotajwa zaidi Kama chama Cha siasa Tena kinachoonewa na dola.
Kwasasa ni Polisi vs Chadema na sio Tena CCM vs chadema.
Mbaya zaidi polisi wanajua wanatumika vibaya Ila hawana ujanja wala pa kusemea.
Muda utaamuwa kati ya polisi vs Chadema Nani atakuwa mshindi Kama vile muda ulivyoitupa mkono CCM na kuibakiza Chadema kwenye medani za siasa Tanzania.
Mbona Walishachukua Siku nyingi sanaKwa wanaosoma alama za nyakati kwasasa CCM haitajwi sana kama chama cha siasa ni chadema kwasasa ndio inayotajwa zaidi Kama chama Cha siasa Tena kinachoonewa na dola.
Kwasasa ni Polisi vs Chadema na sio Tena CCM vs chadema.
Mbaya zaidi polisi wanajua wanatumika vibaya Ila hawana ujanja wala pa kusemea.
Muda utaamuwa kati ya polisi vs Chadema Nani atakuwa mshindi Kama vile muda ulivyoitupa mkono CCM na kuibakiza Chadema kwenye medani za siasa Tanzania.
Sikiliza hiyo halafu mtaamuawa wenyewe.Kwa wanaosoma alama za nyakati kwasasa CCM haitajwi sana kama chama cha siasa ni chadema kwasasa ndio inayotajwa zaidi Kama chama Cha siasa Tena kinachoonewa na dola.