Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Kadri siku zinavyoenda taratibu taratibu wakawake wa kiafrika wanaanza kuelewa thamani ya rangi ya ngozi zao.
Siku hizi ile kasi ya wanawake ku-bleach ama wanaita kukrimu rangi ya ngozi zao waonekane weupe inapungua ama inaelekea kuisha kabisa. Sasa wanawake wanajikubali kwamba ngozi yao nyeusi haina shida yoyote.
Ni matumaini yangu kwamba itafika wakati wataelewa pia kwamba wao ni warembo bila kuvaa haya manyuzi ya makatani wanayoita weaving sijui wigs.