Taratibu tuelewane: Bashiru anaposema kutumia Dola kushika Dola anamaanisha haya...

Tatizo ni elimu na uelewa wenu wafuasi wa upinzani.

Mnataka kulisha watu matango.

Wafuasi na aina ya wachangiaji kama wewe ni janga la kitaifa.

Ni kama vile mnataka kuleta vurugu ili mfanye looting

Aibu kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
One day such declaration will operate upside
Down upon them and tell the tale

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Matango gani?

Mmekua mkitumia dola na jeshi kujipatia kura,uongo au kweli?

Leo mmesema wazi,mnatumia dola kushinda chaguzi,mnataka kutuletea stori ndeefu as if hatuna akili to think for ourselves?

Fvck yall ccm motherfvckers!
 
CCM pamoja na ukweli kwamba ni chama kikongwe, lakini pia ni ukweli uliokuwa bayana kuwa kimekosa dira na uelekeo sahihi. Ni chama ambacho viongozi wake ni wababaishaji tu wenye kutegemea kubebwa na vyombo vya dola, jambo ambalo kwa uwazi wanajivunia.

Ni chama chenye viongozi waliokosa maono bora ya kuipeleka nchi yetu ktk viwango vya juu vya maendeleo, na pia hali ya kuweza kufaidika zaidi na rasilimali lukuki zilizopo ndani ya nchi yetu. Wao badala ya kufanya jitihada za kuliunganisha taifa hili pasipo kujali tofauti za kiitikadi za vyama miongoni mwa wananchi, wao wanaona kubaguana kisiasa ndio pekee ya kuzidi kuliongoza taifa, tena wakiwa na kiburi kwa kuamini ndio pekee wenye hati miliki juu ya hatima ya uongozi wa taifa hili.

Kauli na matendo yao hutudhihirishia mapungufu yao. Imefikia kiwango mtu akiwa na hoja kinzani dhidi yao humchukulia ndio adui yao. Na uadui huu unakuwa si kwa makada wake bali unajumuhisha hata watendaji waliopo ndani ya vyombo vya dola.

Sasa suala la weledi, maadili na uadilifu linaonekana ni kutii amri za viongozi wa wa aina ya Dr. Bashiru, pasipo kujali hata uhalali wa amri husika. Na viongozi wa vyombo vya dola wameingia ktk mtego mkubwa, wametambua ili kujihakikishia ajira ama vyeo, ni kujipenfekeza na kutenda vile ambavyo mabwana zao wanavyopenda iwe na wala sio tena suala la weledi na maadili ya kazi zao.

Ndiyo maana tunamuona Leo akiwa ktk misururu mirefu ya magari atembeapo sehemu mbalimbali za nchi yetu, akiwa amezungukwa na maafisa wa vyeo vya juu wa vyombo hivi vya dola. Tena hadharani akitoa maagizo kwa maafisa hao nini ambacho anataka kifanyike. Na kwa kiburi kabisa hadharani akitamka kuwa wao kama chama tawala wanafaidika kwa kushika dola ktk chaguzi mbalimbali hapa nchini.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mleta mada, kama siyo yeye basi ni ndugu yake. Aligombea ubunge nyamagana. Akaanguka, baadaye ndiyo wale makada waliozawadiwa "ukurugenzi" na ndani ya miaka miwili alipewa ujaji . Sasa mtu kama huyu yuko mahakamani , unategemea nini kesi anazozisimamia dhidi ya serikali na watawala .

Najuwa ni mwanasheria ndiyo. Lakini majibu ya Bashiru yalitokana na maudhui ya muuliza swali. Ambaye alitaka kujua juu ya kunyanyaswa kwa wapinzani wa CCM dhidi ya vyombo vya dola na vya maamuzi. Sasa Bashiru amekiri wanavitumia kubaki na dola , halafu wewe utupe tafsiri gani zaidi kumwelewa ?!.

Ungekaa kimya usiufedheheshe ujaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni uzuzu.. wote tumemsikia bashiru hakutaja barabara wala hospitali. Alimaananisha jeshi la police na etc.


Ungesema alikua amelewa tungekuelewa kuliko huu uharo wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umbwa wewe hujui Maana ya Dola

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Kwanza Dola ni mamlaka, na huwezi kutumia serikali kubaki madarakani ukipewa mamlaka(Dola) unaunda serikali, ambacho nichombo chausimamizi chenye mgawanyo mbalimbali kusimamia shughuri mzima za nchi, ukisema ninatumia Dola ni sawa nakusema kutumia mamlaka ulopewa kuunda serikali, chama kinapewa mamlaka(Dola) kuunda serikali na ukipewa hiyo ridhaa unapaswa kuongoza nasikutawala nanikwa mujibu ya Katina ya nchi sikwakatiba ya chama kilichopewa lidhaa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unajua kuwa yawezekana zaidi ya 80% waliomo huwa wanakuzidi akili, uelewa na elimu?
 
Bos Kwan ulifikir hawakuelewa wameelewa tu ila wanajitoa ufaham n
Wape na hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…