kulagha nenga
JF-Expert Member
- Jan 1, 2026
- 690
- 1,375
Habari za jioni wadau,
Dini inatumiwa kama kinga ya kuzuia watu wasiseme maovu ya viongozi na wanasisasa. Ukisema wenye dini yao wanakuja juu unamsema huyu mbona yule hukumsema.
Nenda kwenye komenti uone yaani zimekaa TU kidini ili mradi Kila mtu anamsapoti WA dini yake.
Watanzania hilo ni janga. Huko ndiko iliko tufikisha siasa za nchi hii wagawe ili uwatawale vema
Sasa HIVI Kuna lingine sisi ni wakatholiki nyie ni waluteli
Ni zamu yetu waluteli kutoa rais............... shughuri imeshaanza.
Haya mimi mama yangu ni muislamu baba mkristo wajomba zangu wapo wakristo na waislamu. Nimeoa mluteli.
Huku Namtumbo tumechanganyika waislamu na wakristo hatujawahi kuchagua kiongozi Kwa kufuata dini yake ninayoyaona Sasa huko mbele ni Giza.
NAJIULIZA TUi nchi hii wanaipeleka wapi ?