Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Jichanganye , more documentaries are coming and for the ecord tuJana zogo lilikua kubwa baada ya ripoti ya upande mmoja ya mkenya pale CNN,mitandao ikafurika, wanaharakati povu likawatoka, wengine wakatuahidi kwenda makaburini kwa kondo
Leo wala kelele hazihanikizi tena, hakuna ripoti toka kwa kondo,hata kule Arusha ambako mchukiwa alikuwepo akigawa nishani, palikua kimya tu,halikirushwa hata jiwe kwenye msafara wake
Huenda kuna somo limeingia, tulioshuhudia mauaji ya pemba 2001,na vurugu za MKIRU 2017-19 tuliona dola inaweza kwenda umbali gani kwenye kuhakikisha inabaki madarakani
Bado kuna kelele za 9D,kama unadhani wametishika na kelele na kwamba watarudi nyuma, basi unajidanganya
Huyo alifiwa na Mkewe na akachanganyikiwa ndio maana anashangilia vifo humu.Hivi unafanyaga mapenzi saa ngapi?
Muda wote huko huku mtandaoni unashangilia vifo tu
Shangazi yakoMakubwa kumbe ni DUME?
Hiyo avatar yako ni ya nani mkuu?
We uliona maandamano?Eti , kwenye vitabu vitukufu vya Imani yako kuandamana adhabu yake ni kukatwa kichwa?
Chuki humuua aliyeihifadhiJichanganye , more documentaries are coming and for the ecord tu
Mchukiwa hakuhutubia wannchi alipita tu njiani kama moja kwa moja kambini
Angesimama kusalimia kama anavyofanya tungejua the feelings
Lakin words in the streets and mostly cha kushangaza wamama wana chuki isiyo na kifani.
Mi mtanganyika tangu na tanguNenda kafirw.e huko kwenu makunduchi.
Mpaka unaandika uzi wako huu wa kijinga ni ni mwanaharakati katika upande unao ujua au ukupao mlo wa kila siku .Jana zogo lilikua kubwa baada ya ripoti ya upande mmoja ya mkenya pale CNN,mitandao ikafurika, wanaharakati povu likawatoka, wengine wakatuahidi kwenda makaburini kwa kondo
Leo wala kelele hazihanikizi tena, hakuna ripoti toka kwa kondo,hata kule Arusha ambako mchukiwa alikuwepo akigawa nishani, palikua kimya tu,halikirushwa hata jiwe kwenye msafara wake
Huenda kuna somo limeingia, tulioshuhudia mauaji ya pemba 2001,na vurugu za MKIRU 2017-19 tuliona dola inaweza kwenda umbali gani kwenye kuhakikisha inabaki madarakani
Bado kuna kelele za 9D,kama unadhani wametishika na kelele na kwamba watarudi nyuma, basi unajidanganya
Qmmk!Povu ruksa
safi sana .... endelea kumsafishia njia ya ICC ....... doesn't matter ni 2025 au 2035 ataenda tuJana zogo lilikua kubwa baada ya ripoti ya upande mmoja ya mkenya pale CNN,mitandao ikafurika, wanaharakati povu likawatoka, wengine wakatuahidi kwenda makaburini kwa kondo
Leo wala kelele hazihanikizi tena, hakuna ripoti toka kwa kondo,hata kule Arusha ambako mchukiwa alikuwepo akigawa nishani, palikua kimya tu,halikirushwa hata jiwe kwenye msafara wake
Huenda kuna somo limeingia, tulioshuhudia mauaji ya pemba 2001,na vurugu za MKIRU 2017-19 tuliona dola inaweza kwenda umbali gani kwenye kuhakikisha inabaki madarakani
Bado kuna kelele za 9D,kama unadhani wametishika na kelele na kwamba watarudi nyuma, basi unajidanganya
well in this time, source ya chuki anajulikana. Na akiendelea kukausha ita consume kila mwananchi at last even kutembea nje itakuwa shida kwake, is that the life anataka?Chuki humuua aliyeihifadhi
Wishful thinkingwell in this time, source ya chuki anajulikana. Na akiendelea kukausha ita consume kila mwananchi at last even kutembea nje itakuwa shida kwake, is that the life anataka?
Get off the high horse son, the world knowsWishful thinking
Saa Saba unusu msikilize msikilize msigwa akizodoa ripoti ya mkenya madowo na uwongo wa kaburi la halaiki kwa kondoGet off the high horse son, the world knows
Siwez sikiliza low IQ akijaribu kupotosha kilichotokeaSaa Saba unusu msikilize msikilize msigwa akizodoa ripoti ya mkenya madowo na uwongo wa kaburi la halaiki kwa kondo