Taratibu za Kisheria za Kufungua Duka la Sonara

Horseman

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2014
Posts
447
Reaction score
392
Habari wakuu

Tafdhali naomba kujuzwa juu ya utaratibu wa kisheria wa jinsi ya kufungua duka la Sonara.

Hitaji kubwa sana liko kwenye utaratibu wa upande wa wizara ya Madini. ( Ni leseni hipi hasa inahusika hapa)
 
Izi leseni zinatolewa na wizara ya madini ila Unatakiwa uanze kwa afisa biashara wko kuna fomu hatakupa ya fomu ya maombi ya leseni utaipitisha kwa watu wa mipango mji na ardhi na mtendaji wa eneo husika ili kuthibitisha km eneo lipo salama na sahihi kwa biashara iyo next ndo unaenda wizarani kuna ada unalipia ya leseni husika
 
shukrani kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…