Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Izi leseni zinatolewa na wizara ya madini ila Unatakiwa uanze kwa afisa biashara wko kuna fomu hatakupa ya fomu ya maombi ya leseni utaipitisha kwa watu wa mipango mji na ardhi na mtendaji wa eneo husika ili kuthibitisha km eneo lipo salama na sahihi kwa biashara iyo next ndo unaenda wizarani kuna ada unalipia ya leseni husikaHabari wakuu
Tafdhali naomba kujuzwa juu ya utaratibu wa kisheria wa jinsi ya kufungua duka la Sonara.
Hitaji kubwa sana liko kwenye utaratibu wa upande wa wizara ya Madini. ( Ni leseni hipi hasa inahusika hapa)
shukrani kiongoziIzi leseni zinatolewa na wizara ya madini ila Unatakiwa uanze kwa afisa biashara wko kuna fomu hatakupa ya fomu ya maombi ya leseni utaipitisha kwa watu wa mipango mji na ardhi na mtendaji wa eneo husika ili kuthibitisha km eneo lipo salama na sahihi kwa biashara iyo next ndo unaenda wizarani kuna ada unalipia ya leseni husika