Taratibu za ku-appeal (HESLB) 2014/2015

Taratibu za ku-appeal (HESLB) 2014/2015

madogo mta appeal mkiwa chuo nadhan kuanzia mwez wa 12 ndo loan watoa process za ku appeal.
 
kama unataka kuapeal nenda katika chuo ulichochaguliwa usajiliwe kwanza ndio uweze kuapeal bila kufanya hautafanikiwa coz itahitajika muhuri wa chuo husika ili uweze kutuma hiyo form ya kuapeal.
 
Kwa ww unaye taka ku appeal unapo appeall hawata badilisha vigezo huwa wanatumia means testing kama hujapata na faculty sio priority usijisumbue nesha wahi ku appeall nika weka na vyeti vya kifo lakini nili ambulia bule huwa wanawapa wale walio pata asilimia chache na form za ku appeal huwa zinatoka tar 1/11
 
vipi udom bodi ya mikopo tayari?
 
Ndug yangu kapata mkopo ila anataka kuhairisha mwaka coz alisoma PCB na ndoto n kuwa daktar.
Bt kapangwa IT. Hv akienda pale loan board awambie ule mkopo wake nipewe mm watakubal?.
 
Sibiri watatoa kwa web zao fom ya kidownload...kwanz ndo.utume hua inachukliwa kwa buku tano......ila shart ue shule kwanza
 
Ndug yangu kapata mkopo ila anataka kuhairisha mwaka coz alisoma PCB na ndoto n kuwa daktar.
Bt kapangwa IT. Hv akienda pale loan board awambie ule mkopo wake nipewe mm watakubal?.

swala la kusema mkopo upewe wewe halitawezekana aseeee na akiahirisha mwaka kuja kuupata huo mkopo ni majaaliwa labda akiahirisha basi mwakani aanze kuomba upya. ila kwa issue ya kusoma udactRi duuuu yategemea na ufaulu wa mwakani kama watafaulu sana basi ajue pia wanaotaka kusoma huo udaktari ni wengi zaidi na huenda wakawa wamefaulu zaidi yake. so aangalie hayo maswala. kwan alikuwa na one ya ngapi mkuu
 
Alikuwa na two ya 8 kiongoz.
 
1.Unapaswa kutuma hela yakujisajili (Tsh 30,000) kwa njiaya M-PESA.Utapokeaujumbe wenye namba za sirimf. BC85QB300 Itunze namba hiyo. 2.Ingia katikamtandao kisha ingia
olas.heslb.go.tz 3.Chagua ‘first time applicant’4.Jaza namba ya mtihani kidato cha nne na kisha namba ya siri uliyopewa kweny meseji,jaza herufi zitakazoonyeshwa kisha bonyeza SUBMIT. 5.Endelea kujaza hadi itakapokamilika. 6.Bonyeza ‘application status’ halafu PRINT.7.Ukishapata fomu yenye kurasa sita,ijaze kikamilifu. 8.Weka fomu iliyosainiwana kugongwa mihuri pamoja na viambatanisho vyote katikabahasha kisha itumebodi kwa njia ya EMS.(waweza kuulizia posta iliyo karibu nawe kuhusu EMS)
Share this:
 
Back
Top Bottom