Meshack ngarabu
Member
- Sep 22, 2014
- 6
- 1
tafadhari:
kwa anaejua vizuri jinsi ya process za kuappeal kupata mkopo mwaka wa masomo 2014/2015
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi udom bodi ya mikopo tayari?Kwa ww unaye taka ku appeal unapo appeall hawata badilisha vigezo huwa wanatumia means testing kama hujapata na faculty sio priority usijisumbue nesha wahi ku appeall nika weka na vyeti vya kifo lakini nili ambulia bule huwa wanawapa wale walio pata asilimia chache na form za ku appeal huwa zinatoka tar 1/11
Ndug yangu kapata mkopo ila anataka kuhairisha mwaka coz alisoma PCB na ndoto n kuwa daktar.
Bt kapangwa IT. Hv akienda pale loan board awambie ule mkopo wake nipewe mm watakubal?.
swala la kusema mkopo upewe wewe halitawezekana aseeee na akiahirisha mwaka kuja kuupata huo mkopo ni majaaliwa labda akiahirisha basi mwakani aanze kuomba upya. ila kwa issue ya kusoma udactRi duuuu yategemea na ufaulu wa mwakani kama watafaulu sana basi ajue pia wanaotaka kusoma huo udaktari ni wengi zaidi na huenda wakawa wamefaulu zaidi yake. so aangalie hayo maswala. kwan alikuwa na one ya ngapi mkuu