1.Unapaswa kutuma hela yakujisajili (Tsh 30,000) kwa njiaya M-PESA.Utapokeaujumbe wenye namba za sirimf. BC85QB300 Itunze namba hiyo. 2.Ingia katikamtandao kisha ingia
olas.heslb.go.tz 3.Chagua first time applicant4.Jaza namba ya mtihani kidato cha nne na kisha namba ya siri uliyopewa kweny meseji,jaza herufi zitakazoonyeshwa kisha bonyeza SUBMIT. 5.Endelea kujaza hadi itakapokamilika. 6.Bonyeza application status halafu PRINT.7.Ukishapata fomu yenye kurasa sita,ijaze kikamilifu. 8.Weka fomu iliyosainiwana kugongwa mihuri pamoja na viambatanisho vyote katikabahasha kisha itumebodi kwa njia ya EMS.(waweza kuulizia posta iliyo karibu nawe kuhusu EMS)
Share this: