Hv kuna mradi ambao hauna changamoto?? Piga ua lazima ziwepo tu
Sheria ya kwanza
- Utayari wako
Sheria ya pili
- Uwe umeamua kweli na umedhamiria
Sheria ya tatu
- Uvipende na kuvithamin hivyo viumbe utakavyo viweka hapo
- Utajua tu utaratibu na sheria zinapatikana wapi na wapi n sehemu sahihi ya kupata hv vitu...n vizuri kuuliza humu , lakin n bora zaid kwenda kwenye ofisi za wahusika ukaongea nao face to face
Nikutakie biashara njema