Taratibu za kuanzisha RANCH

Taratibu za kuanzisha RANCH

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,774
Wakuu, hivi kuna utaratibu wowote wa kuanzisha ranch kisheria? Na vp vitu muhimu vinahitajika kwa ajili ya kuanzisha ranch binafsi, je kuna changamoto zozote katika huo mradi?
Ushauri wenu muhimu sana
 
Hv kuna mradi ambao hauna changamoto?? Piga ua lazima ziwepo tu

Sheria ya kwanza
- Utayari wako

Sheria ya pili
- Uwe umeamua kweli na umedhamiria

Sheria ya tatu
- Uvipende na kuvithamin hivyo viumbe utakavyo viweka hapo

- Utajua tu utaratibu na sheria zinapatikana wapi na wapi n sehemu sahihi ya kupata hv vitu...n vizuri kuuliza humu , lakin n bora zaid kwenda kwenye ofisi za wahusika ukaongea nao face to face

Nikutakie biashara njema
 
Mkuu umesomeka vema, ushauri wako umezingatiwa
 
Back
Top Bottom