Taratibu za kuanzisha timu ya mpira wa miguu Tanzania zikoje?

Taratibu za kuanzisha timu ya mpira wa miguu Tanzania zikoje?

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,550
Reaction score
39,949
Hello wanasport!!

Anayefahamu tafadhali anipe mtiririko hapa nina hiyo ndoto siku moja.

Na inaanzia daraja la ngapi kwa hapa nchini?
 
Sijajua ila naona wengi wananunua timu za kati kisha wanazipandisha nakushauri uende kwenye ofisi za chama cha mpira mkoani kwako au wilayani watakupa utaratibu kama uko ubungo muone yule mwenyekiti wao mjanja mjanja sana atakuelewesha!
 
Sitaki kununua timu mkuu nataka niianzishe mimi mwenyewe.

Ok, shukrani mkuu kwa ushauri.
 
Wazo zuri,hakuna kinacho shindikana
Sogea ofc za TFF wakupe utaratibu, kwa uhakika zaidi mkuu
 
Nenda kachukue fomu kwenye chama cha soka wilaya uliyopo.

Utaanzia Ligi daraja la nne, utapanda kulingana na performance yenu mpaka ligi kuu.
 
Hello wanasport!!

Anayefahamu tafadhali anipe mtiririko hapa nina hiyo ndoto siku moja.

Na inaanzia daraja la ngapi kwa hapa nchini?
nunua timu daraja la kwanza ama la pili, kisha ivunje taratibu uweke utaratibu wako na mwongozo wako, kama kuna uwezekano wa taratibu za kubadilisha jina la timu.. unabadilisha
 
una hela ngapi nikufanyie makaratee?,si ndo wakongwe hapa wizarani
 
Kwa namna soka la bongo linavyoendeshwa... kama ndoto yako ni kuanzisha timu ili uipandishe mpk ligi kuu... utasubiri sana wallah
Duuuh... Hakuna jambo rahisi ila nitakuja kujaribu nijionee.
 
Waulize Gwambina, Ihegu na Namungo Wazee wa Ruangwa.
 
Back
Top Bottom