Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitaki kununua timu mkuu nataka niianzishe mimi mwenyewe.Sijajua ila naona wengi wananunua timu za kati kisha wanazipandisha nakushauri uende kwenye ofisi za chama cha mpira mkoani kwako au wilayani watakupa utaratibu kama uko ubungo muone yule mwenyekiti wao mjanja mjanja sana atakuelewesha!
Mpaka timu ifike ligi kuu atakuwa kashadedi au kafilisikaNenda kachukue fomu kwenye chama cha soka wilaya uliyopo.
Utaanzia Ligi daraja la nne, utapanda kulingana na performance yenu mpaka ligi kuu.
Kwa namna soka la bongo linavyoendeshwa... kama ndoto yako ni kuanzisha timu ili uipandishe mpk ligi kuu... utasubiri sana wallahMbona unanitisha babu...
Shukrani mkuu.
So kikubwa ni kikosi kamili cha wachezaji kuanzia 23
mzee kufika ligi kuu ni mziki mnene pia huku ligi za chini kuna fitna balaaMbona unanitisha babu...kikubwa si mipango.
nunua timu daraja la kwanza ama la pili, kisha ivunje taratibu uweke utaratibu wako na mwongozo wako, kama kuna uwezekano wa taratibu za kubadilisha jina la timu.. unabadilishaHello wanasport!!
Anayefahamu tafadhali anipe mtiririko hapa nina hiyo ndoto siku moja.
Na inaanzia daraja la ngapi kwa hapa nchini?
Kila la kheri kiongozi. Unikumbuke kwenye nafasi ya msemaji wa timu ili niwafunike kina Haji na mzee wa kupapasaDuuuh... Hakuna jambo rahisi ila nitakuja kujaribu nijionee.