Mlachake JF-Expert Member Joined Oct 13, 2009 Posts 4,437 Reaction score 4,618 Jun 10, 2014 #1 Wanandugu. Nimebahatika kununua Banda lenye lesseni ya makazi Na Nataka kuirudisha kutoka umiliki wangu naomba kujuzwa taratibu Na gharama. Natanguliza shukrani
Wanandugu. Nimebahatika kununua Banda lenye lesseni ya makazi Na Nataka kuirudisha kutoka umiliki wangu naomba kujuzwa taratibu Na gharama. Natanguliza shukrani