Taratibu za kubadili umiliki wa leseni ya makazi

Taratibu za kubadili umiliki wa leseni ya makazi

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,437
Reaction score
4,618
Wanandugu. Nimebahatika kununua Banda lenye lesseni ya makazi Na Nataka kuirudisha kutoka umiliki wangu naomba kujuzwa taratibu Na gharama. Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom