Taratibu za kubadilisha kadi ya gari

Taratibu za kubadilisha kadi ya gari

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
748
Reaction score
367
Poleni kwa kazi wananzengo. Naomba msaada wa anaejua taratibu za kubadili umiliki wa gari vitu gani vinahitajika kuwa navyo na kiasi gani cha fedha cha kulipia? Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Motor vehicle transfer tax is payable when a vehicle changes ownership from one person to another. Tax on transfer is payable by the transferee and Stamp Duty on the sale of asset is paid by the seller. The taxes are paid through the bank.

Transfer fees
Motor vehicleTSHS 50,000
Tricycle (Bajaj)TSHS. 30,000
Motor cycleTSHS 27,000
Stamp Duty 1%

Nimeichukua kama ilivyokutoka TRA.
Sina uhakika katika utaratibu mzima ila unatakiwa uwe na vifuatavyo:
1. Mkataba wa mauziano uliofuata taratibu za kisheria.
2. Kadi ya gari inayouzwa.
3. Vitambulisho vyenu halali vya wahusika wote wawili (muuzaji na mnunuaji)
4. Wote mfike ofisi za TRA (mkiwa na dondoo 1-3)

Niliwahi kuambiwa hivyo vitu.
 
shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Mkataba wa mwanasheria , wenye mhuri na mwanasheria atoe risit ya mashine ya tra
2.kitambulisho cha muuzaji cha nida
3.passport size moja ya muuzaji moja
4.passport size ya mnunuz na kitambulisho chake cha nida
5.kadi original ya gari.
6.barua ya mauziano
Pia andaa hela sasa watakayokuambia, ila kwa sasa muuza gari ndio wanamuhitaji sana kuliko hata mnunuzi na wako very strict kwa hilo ..
 
Back
Top Bottom