Taratibu za kufuata ili kupata kibali cha kuendesha lodge

Babu shikamoo, muongozo unahitajika huku.

Grahams
Marahaba Mjukuu

Ili kujenga nyumba ya biashara (Lodge) kwanza ni lazima Kiwanja chako kiwe kimepimwa na kiwe kwenye upande wa Viwanja vya biashara ama Viwanja vya biashara na makazi n.k

Ni lazima uwe na kibali cha Ujenzi kutoka Halmashauri yako.

Kupata leseni ya biashara, unatakiwa uwe na TIN number pamoja na jina la hiyo biashara yako ambalo utaenda kulisajiri kwenye hiyo Halmashauri ambayo unaenda kuombea leseni.

Lakini ni lazima uwe na barua ya Mtaa/Kijiji (recommendation letter/introduction letter)

Pia utatakiwa kuwa na tax clearance form kutoka TRA

Ukishaomba utatakiwa kusubiri ndani ya Siku 7 hadi 14 hivi kuweza kupewa.

Jambo lingine la muhimu kabla hujaanza hiyo biashara hakikisha umepata ripoti ya ukaguzi kutoka Maafisa Afya/Mazingira/Kibali cha Zimamoto/Kibali cha OSHA n.k

Kila la heri kwenye Uwekezaji wa ndoto yako
 
Shukrani kwa muongozo nna imani mleta mada ataona.

Lomaa lolusa
 
Mfano nyumba tayari ipo nataka kubadilisha lodge inakuwaje... kuhusu kibali cha ujenzi
 
Kuna sehemu nami nilijenga mahusiano kama wewe unavyofanya.....Siku ya Siku Kuna jamaa alikuja na gari aina ya 110 land Rover (itamke one ten) akafanikiwa kuniibia mchumba

Ni tukio la Mwaka 47 lakini hadi leo nalikumbuka 🙌
Mzee wewe si umeshaanza kupoteza kumbukumbu kwa uzee? Ila hilo tukio husahau ama kweli mapenzi ni hatari.

Mwaka 47 hiyo 110 ilikuwa ndio gari ya kifahari sana?
 
Asikwambie mtu, kumbukumbu za mapenzi huwa hazifutiki kirahisi Mjukuu.

Yule jamaa alichangia Kwa kiasi kikubwa sana nijikite kwenye utafutaji.

Ogopa sana kuibiwa mchumba huku wewe mwenyewe ukishuhudia

Ile gari ilikuwa hot cake sana miaka ile.

Kumbuka miaka hiyo nilikuwa namiliki Baiskeli tu halafu jamaa yeye amepaki Land Rover 110, unadhani atabaki na mwenye Baiskeli ama ataenda na mwenye gari 🙌
 
Pole sana babu kumbe haya mambo yalikuwepo hadi kizazi cha mwaka 47? Nilidhani ni kwa hiki kizazi chetu cha azuma.
 
Back
Top Bottom