NDUGU YANGU USIDHANI ANAYEULIZA NI MJINGA SI LAZMA UJIBU UNAJUAJE KAMA MM NALIJUA TANGAZO LA HUYOO MSUKUMA ? NIMEULIZA ILI NIJUE NIPO KAZN MDA WOTE SASA KWENDA MAHALI HALAFU URUDISHWE AMA URUDI NYUMBANI KWASABABU UMEPUNGUKIWA NA KITU... NA MUDA WA KURANDARANDA KWENYE MAOFISI YA WATU SINA KWANZA KUNAKUPOTEZEANA MDA SANA NA NIMEKATA TAMAA KABISA WALIVYOSEMA HAZIFUNGULIWI JUMAMOSI NIMEUMIA SANA SANA NASIKITIKAndio maana wabongo watu wa kati na wapiga dili hawaishi,lile tangazo la msukuma halikukutosha ?
ushauri mkubwa ni ufike jieleze uambiwe ufuate maelezo lakini ni bure.
kwa hili lililotangazwa kwenye media unasita je yasiyotangazwa si ndio mnalizwa na watoto wa mjini.
SI INSTA TU HATA TUBE 8 NAINGIAWabongo bwana..kuingia play store na kudownload instagram au jf kila mtu anajua ila kupata TIN ya TRA hajui ataipata wapi wakati ashasema TIN ya TRA.
Nenda kaulizie huko utapata wapi TIN "number" ya TRA.ngoja nikujibu basi ili usiwe umepoteza mda wako ,inapatikana pale kirumba resort kwa barmaid white.SI INSTA TU HATA TUBE 8 NAINGIA
mm na shida kwa ajili ya leseni ya udereva nisaidieUnahitaji TIN kwa ajili ya nini? Mfano, biashara, leseni ya udereva, kutolea/kumiliki gari au pikipiki, au kulipia kodi ya majengo(property tax)? Nijibu hapo ili nikupe utaratibu.
Mkuu unaposema huna muda kabisa unakosea. Wewe muda wa kufanya mambo yako unaupata jumamosi, je huyu mfanyakazi wa TRA ukitaka akuhudumie wewe mpaka jumamosi unadhani private zake yeye anazifanya lini? Mbona huyu mfanyakazi kuna huduma anazozihitaji ofisi nyingine na anajitahidi kuzipata pasipo kuathiri muda wa mwajiri wake? Panga muda wako vizuri, utapata japo nusu saa ya kufika TRA na kuhudumiwa and then urudi kufanya kazi zako. Dakika zinazotumika ku argue jf zinatosha kabisa kufika TRA ukachukua TIN yako.NDUGU YANGU USIDHANI ANAYEULIZA NI MJINGA SI LAZMA UJIBU UNAJUAJE KAMA MM NALIJUA TANGAZO LA HUYOO MSUKUMA ? NIMEULIZA ILI NIJUE NIPO KAZN MDA WOTE SASA KWENDA MAHALI HALAFU URUDISHWE AMA URUDI NYUMBANI KWASABABU UMEPUNGUKIWA NA KITU... NA MUDA WA KURANDARANDA KWENYE MAOFISI YA WATU SINA KWANZA KUNAKUPOTEZEANA MDA SANA NA NIMEKATA TAMAA KABISA WALIVYOSEMA HAZIFUNGULIWI JUMAMOSI NIMEUMIA SANA SINA NASIKITIKA
NIPO KAZINI MKUU WANGUMkuu unaposema huna muda kabisa unakosea. Wewe muda wa kufanya mambo yako unaupata jumamosi, je huyu mfanyakazi wa TRA ukitaka akuhudumie wewe mpaka jumamosi unadhani private zake yeye anazifanya lini? Mbona huyu mfanyakazi kuna huduma anazozihitaji ofisi nyingine na anajitahidi kuzipata pasipo kuathiri muda wa mwajiri wake? Panga muda wako vizuri, utapata japo nusu saa ya kufika TRA na kuhudumiwa and then urudi kufanya kazi zako. Dakika zinazotumika ku argue jf zinatosha kabisa kufika TRA ukachukua TIN yako.
Nani amekwambia mimi ni mhaya?ntawaita mods wakupe ban for "name calling".Kama Mungu kakusaidia ukapata kaelimu hata ka cheti basi kijijini kwenu kazi wanayo haswaaa.
Sio kila kitu mtu anafahamu so anapouliza msaidie na sio kumsimanga.
Sio kosa lako unaonekana ww ni kati ya "wahaya" washamba. Ji-adjust uwe kama wenzako walioendelea.
Nenda TRA na copy ya kitambulisho chako. Utapewa fomu ujaze kisha upigwa picha na kuchukuliwa akama za vidole na sahihi ya kielekroniki. Baada ya hapo utapewa TIN yako.mm na shida kwa ajili ya leseni ya udereva nisaidie
TIN NUMBER YA BIASHARA SIO BURE ACHENI KUDANGANYA WATU. why sio bure? Huwezi kupata TIN number (certificate) bila kulipa with holding tax. Ukifika TRA kuomba TIN ya biashara moja ya sharti ni kuleta mkataba wa pango la biashara, ukiwapa mkataba wanakupigia with holding tax, wanakwambia kalipe kwanza hiyo ndio utapata TIN, ile kodi ya makadirio sio lazima ulipe wakati huo. Huo ndio utaratibu. Kama hauna hiyo withholding tax pesa sahau TIN. Huo ndio utaratibu niliokutana nao wakati natafuta TIN
Huyo aliyekwambia umpe elfu ishirini yeye kama yeye amekosea sana. Lakini kama amrkwambia ulipie kodi hajakosea. Acha kulalamika nenda kwa boss wake hapo ofisini umuulize utaratibu wa kupata hiyo TIN na umweleze jinsi ulivyoambiwa na watumishi walioko chini yake. Atakusaidia jinsi ya kufanya.Nimeenda tra nimemkuta bint mmoja kanambia nitoe elfu ishirin kupata tin no
thanx! Sikutembea na hela mda huo so nikahaid ntaenda kesho kwaiyo nikimwona boss wake hata sent sitatoa?Huyo aliyekwambia umpe elfu ishirini yeye kama yeye amekosea sana. Lakini kama amrkwambia ulipie kodi hajakosea. Acha kulalamika nenda kwa boss wake hapo ofisini umuulize utaratibu wa kupata hiyo TIN na umweleze jinsi ulivyoambiwa na watumishi walioko chini yake. Atakusaidia jinsi ya kufanya.
Gharama za kupata leseni zikoje nataka kufanya biashara ya miamala ya simu (tigo pesa, m, pesa airtel money)??Mbona unapenda short cut ndugu?nenda tra ukapate tin then nenda manispaa kapate leseni.very simple.
Ndugu zangu mimi tin number ninayo nataka kufanya biashara ya miamala ya simu kama tigo pesa na m pesa Naomba kwa aliewahi kukata leseni ya biashara ya miamala ya simu anijuze ngarana ya leseni kwa biashara husikaIngia tovuti ya tra, nenda ujazaji online wa tin, fuata maelekezo, ukimaliza nenda tra kuweka dole gumba. Maelezo mengine ya upatikanaji wa tin utapata tra bila wasiwasi kabisa. Ukipata tin nenda halmashauri yako kitengo cha biashara watakuelekeza ujazaji wa fomu na mengineyo, ila si bure tena ni fedha, gharama yake itategemea kule tra walikufanyia makadirio kiasi gani ya biashara yako kwa mwaka. ( wakati mwingine tra wanakwambia uende kwa tax consultant akufanyie makadirio ya mapato yako kwa mwaka, then consultant ataandika report utakayopeleka tra ili ufungue file na ulipie tax in advance).
Hapo kwenye bold, ni moja ya taarifa muhimu zinazotakiwa na mamlaka husika, ili upatiwe hiyo TIN number yako.online business na sioni haja ya kujaza location information since sitarajii kulipia kodi ya upangaji wa eneo la biashara kwani biashara nayotaka kuifanya is on my hand.
Pls naombeni consultation je ni sahihi kujaza location while sitokuwa na physical office location