Taratibu za kufuata ili kupata TIN Number

Nenda kwa ofisa biashara wa manispaa,atakukatia leseni kisha tra watakukadiria kodi na kupewa TIN namba then utalipia na endelea na biashara!
NB:Kabla ya yote lipa kwanza faini maana ushavunja sheria.
 
Tin ninayo boss Na nimekamilisha kila kitu ninalipa tra imebaki pesa kidogo tu kumalizia mwsho wa huu mwaka
 
Nenda kwa ofisa biashara wa manispaa,atakukatia leseni kisha tra watakukadiria kodi na kupewa TIN namba then utalipia na endelea na biashara!
NB:Kabla ya yote lipa kwanza faini maana ushavunja sheria.
Kulipa faini sio tatizo mkuu tatizo ni kiasi cha faini kwa huu mtaji nikilipa iyo pesa nataanza sifuri Na kama unavyojua miezi ya kulipa Kodi hii
 
Una TIN No.? kama hauna nenda TRA kapate TIN NUMBER na makadirio yako utapewa!!...Then nenda halmashauri kaombe leseni ya biashara wewe biashara yako ipo kundi B category siwezi kukwambia sababu hujasema ni ain gani hyo biashara.
Makadirio hayatazid 120,000/= kwa mwaka!..siku nyingine usifanye biashara kwa mazoea fata taratibu za nchi hiyo ni Investment umefanya sio show-off
 
Nenda halmashauri husika na pesa ya kulipa hiyo leseni na faini ambayo haizidi elfu 50, faini hua zina asilimia kulingana na muda ulio chelewa kulipa. Wakikusumbua sana waambie wakuonyeshe kuna kitabu cha faini, kitakuonyesha sh ngapi unatakiwa kulipa.
 
Una TIN No.? kama hauna nenda TRA kapate TIN NUMBER na makadirio yako utapewa!!...Then nenda halmashauri kaombe leseni ya biashara wewe biashara yako ipo kundi B category siwezi kukwambia sababu hujasema ni ain gani hyo biashara.
Makadirio hayatazid 120,000/= kwa mwaka!..siku nyingine usifanye biashara kwa mazoea fata taratibu za nchi hiyo ni Investment umefanya sio show-off
Tin ninayo makadirio nilishafanyiwa leseni tu sikukata sasa apa Hawa jamaa Leo wananiambia nilipe faini laki nne kwel jamani duh
 
Milioni Moja mkuu
Huwezi ukawa na genge la Millioni Moja hata siku!!...hicho ni kiwango kikubwa sanaa!!, kwa hili hao watu wapo sahihi kukulipisha fine!..
 
Ila usirudie kufungua duka bila leseni, awamu hii iko mbio mbio sana.
 
Kwel kabisa mana Hawa jamaa wamekuwa kama wanyama hii faini ni kubwa sana kwangu siwezi ilipa boss nadhani serikali inasababu ya kuwapa mafunzo Hawa watumishi wake hivi watapata faida Gani tukifunga hizi biashara
 
Pole sana. Ngoja wajuvi wa mambo wakujuze nami nijifunze hapa
 
Asante mkuu ujue kuna wakati tunadharau mambo haya Ila yanatugarimu lakini pia busara unatakiwa tumika hata kama Sina leseni hii faini mkuu ni nzito sana kwa biashara yangu
 
UNAFANYA BIASHARA GANI?
YA AINA GANI
 
Kwel kabisa mana Hawa jamaa wamekuwa kama wanyama hii faini ni kubwa sana kwangu siwezi ilipa boss nadhani serikali inasababu ya kuwapa mafunzo Hawa watumishi wake hivi watapata faida Gani tukifunga hizi biashara
Hawa wanafunzi walio field na wahitimu walio jitolea ndo hua wajeuri sana, na wateja wetu wa leseni baadhi hua wajeuri mno kukuonyesha leseni yake wakati akijua imeisha muda wake.
 
Back
Top Bottom