Manepesa
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,065
- 3,714
Wakuu
Naomba tuambizane hapa ni zipi taratibu za kufuata unapotaka kutengeneza app yako, haswa taratibu zile za kisheria, za ki-nchi, kimataifa, ila kulinda project yako kisheria dhidhi ya "majangili" ya kuona project za watu na kukopi na kujipatia utajiri kirahisi kwa dhulma.
Na kama Kuna wamba wa kutengeneza apps ama anayefaham basi tuchekiane inbox..najua huwezi fanya kila kitu mwenyewe lazima uwe na kikundi Cha watu, Kuna kuanzia Founder, co founder, Kuna huyu na yule wote tutakua kwenye project kisheria na kwa makubaliano ya shares na kadhalika kisheria kitaifa na kimataifa ikitokea labda tumepewa ofa nzito ya kuuza project hio ama tumeamua kua nayo basi mapato yatakayoanza kupatikana ndio shares kwa kila mmoja.
Wale IT experts, computer science experts usikalie kipaji chako, wale genius, creative, wale wenye IQ kubwa tunaweza kufanya kitu jamani au...
Karibu.