M Mfa maji JF-Expert Member Joined Nov 6, 2013 Posts 248 Reaction score 104 Jan 12, 2014 #1 Wakuu habari za leo? Naomba kujuzwa taratibu za kufungua akaunti ya dola na kama kuna charges zozote nitakua ninakatwa. Nimejaribu kutembelea website za bank lakini sipati taarifa ninayotafuta.
Wakuu habari za leo? Naomba kujuzwa taratibu za kufungua akaunti ya dola na kama kuna charges zozote nitakua ninakatwa. Nimejaribu kutembelea website za bank lakini sipati taarifa ninayotafuta.