Taratibu za kufungua akaunti ya dola

Taratibu za kufungua akaunti ya dola

Mfa maji

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
248
Reaction score
104
Wakuu habari za leo?
Naomba kujuzwa taratibu za kufungua akaunti ya dola na kama kuna charges zozote nitakua ninakatwa. Nimejaribu kutembelea website za bank lakini sipati taarifa ninayotafuta.
 
Back
Top Bottom