Taratibu za kufungua "Branch ya KFC'

Naweza kusema kuwa hao jamaa wanaweza ku act kama wadhamini then ukafungua biashara? Maana kwa kuanzia kuwa na 1.5USD sio jambo la kitoto.
 
Naweza kusema kuwa hao jamaa wanaweza ku act kama wadhamini then ukafungua biashara? Maana kwa kuanzia kuwa na 1.5USD sio jambo la kitoto.
Yaani iko hivi. Wao ndio franchise wa iyo Pizza Hut na KFC. Kwahiyo wewe unaongea nao wao, inakua like wao wamefungua branch.

Watakachofanya watakupa specifications na ramani ya jengo wanavyotaka liwe, watakuja kagua, watakuambia vifaa vya kununua, watatuma nadhani mtu wa quality assurance/check hafu watakupa na wapishi wao (au tuseme watu waje kuwatrain wapishi wako).

Kwa kucheki hapo sidhani kama unahitaji Billion. Mfano cheki mgahawa wa KFC wa Mikocheni Plaza. Utaniamhia una worthy iyo bei? No.
 
Umeeleweka mkuu. Mtoa mada afuate ushauri huu atafanikiwa.
 
Tambua standard zao ni zilezile dunia nzima. Kuku wa KFC kule kentucky ni yule yule utakaye mla Abu Dhabi au London
Nimeona baadhi ya comments fb watu wanalalamika kuku wao hawakaushwi vizuri na nakaiwa na mafuta mengi.. wnalalamika ubora umepunguwa tofauti na zamani..

Wanawezaje kudhibiti ubora ukawa the same branch zote nchi zote..!?

Nafahamu kuwa hizi franchise wana guidelines zao na procedures but damn..!
 
Niliona Kenya, mday mmoja wa Blog anaseama KFC kwa Marekani ni migahawa ya wale choka mbaya masikini, ni huku Africa ndio i aonekana ni migahawa ya watu wenye nazo.
 
Yani kuanzisha mgahawa wa kuku wa kukaangwa na ngano na chips ndio uwe na walau billion 6? Thats hillarious, huo ujinga siwezi fanya hata kama napewa hio hela bure bora nikanunue Bonds BOT
 
Na Arusha wameshafungua mwaka huu.
Arusha na Dar ni sehemu sahihi kwa hizo biashara za kizungu. Kote foreigners ni wengi na watu wenye kipato kikubwa ni wengi.

Halafu sidhani kama ni ishu sana kubuni mgahawa kama KFC shida ni wabongo hatupo serious tu. Ila kama una mtaji unafungua same scale business unaweka muhindi tu anasimamia tu.
 
dola 1.5m hiyo ni karibu billion 4 za kibongo
Nje ya box, KFC anachouzia ni ile brand name, kama tu CocaCola na Pepsi wanavyouza soda zao. Kwa huo mtaji wa Bilioni 4 si mtu uanzishe kabisa brand yako ila uuze na kuandaa kuku kama hao KFC mpaka packaging, unaweza kutoboa zaidi maana faida yote itakua yako. Hao wanaotamani kununua bidhaa za KFC mbeya wataona bora waende kwa muuzaji wa mbadala (substitute seller) na baadae wanaizoea na kuikuza brand. Kama tunavyokunywa Azam Cola, Afiya berries, anjari healtho nk

Hapo unahakikisha umeweka branch zako katika mikoa ya jirani ambako KFC hawako.
 
kwa Tanzania coast sio hizo mkuu...!
 
Mbeya mtu ataingia kula KFC? Tafuta business nyingine au fungua restaurant nyingine yenye local Tz food, achana na KFC utapoteza billions of Tz na hazitarudi kwa Tz, sbb wateja wake wengi sio wa class hiyo, kama husikii endelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…