Taratibu za kufungua "Branch ya KFC'

Taratibu za kufungua "Branch ya KFC'

Kwa mbeya inakula kwake, atlest Arusha, kwa nje ya Dar.
Sahihi soko la KFC ni la High Class Mbeya soko hilo ni almost halipo.Wafanyabiashara wengi wakubwa pale wenye pesa wakinga lakini bahili sana kwenye matumizi hasa ulaji mchana hushindia mahindi ya kuchoma na chakula cha Mama ntilie kisichozidi shilingi elfu tatu nao wachache wengi hushinda njaa au kujipikia

Arusha na Dar sawa
 
Yani kuanzisha mgahawa wa kuku wa kukaangwa na ngano na chips ndio uwe na walau billion 6? Thats hillarious, huo ujinga siwezi fanya hata kama napewa hio hela bure bora nikanunue Bonds BOT
Billion 6 si Bora nikawekeze kwenye hati fungan pale BOT kwa mwaka nalamba 12% ambayo ni Sawa na milion720 [emoji16]
 
kwa Tanzania coast sio hizo mkuu...!
Tuwekee costs sahihi mkuu, mimi kwenye kuchimba ndo nimepata hizi, na nimeambiwa the figures ni around humo humo, hata kama itakua pungufu tofauti haitakua kubwa kivile, sababu hapo cost kubwa ni ya franchise fees pamoja na training fees, maana itabidi watu wa KFC waje wakae kwenye hiyo branch for 2-3 months waki train, na kusimamia staff wako kuhakikisha ubora (quality assurance). Yaani wao wanataka kuku atakayokula mtu KFC iliyopo London, na kuku atakayokula mtu kwenye hiyo KFC yako ya Mbeya, ZISIWE NA UTOFAUTI WOWOTE..!! Sasa hiyo sio kazi ndogo, na kiasi kikubwa cha gharama kinaendaa humo.
Nafuu atakayoipata mtu wa Mbeya labda ni katika gharama za kujenga/kukodi jengo, maana haziwezi kuwa sawa na gharama za London kwa mfano.
Otherwise, kama una figures za tofauti na source tofauti tuambie mkuu tujifunze pia. Prince Mhando
 
Sahihi soko la KFC ni la High Class Mbeya soko hilo ni almost halipo.Wafanyabiashara wengi wakubwa pale wenye pesa wakinga lakini bahili sana kwenye matumizi hasa ulaji mchana hushindia mahindi ya kuchoma na chakula cha Mama ntilie kisichozidi shilingi elfu tatu nao wachache wengi hushinda njaa au kujipikia

Arusha na Dar sawa
Kwanza jiulize, kwa Mbeya location ya hiyo KFC ataiweka wapi?
 
Yaani wao wanataka kuku atakayokula mtu KFC iliyopo London, na kuku atakayokula mtu kwenye hiyo KFC yako ya Mbeya, ZISIWE NA UTOFAUTI WOWOTE..!!
[/USER]
Tatizo lingine utalipata hapo kwenye kuku wa quality hiyo sawa na KFC London au UK.
Ukitaka kuku quality hiyo inabidi uagize South Afrika au Kenya au Zimbabwe

Vinginevyo anzisha shamba la kuku lako mwenyewe.Kwa Tanzania kulikuwa na wafuga kuku hao quality Amadolli ni kampuni ya kitaliano ilikuwa pale Dar njia ya kwenda mikoa ya kusini.Sijui kama bado wapo .Kama wapo basi waweza nunua kwao.

Ila kwa waswahili ufugaji wa kuku quality bado japo wapo wengine wanajitahidi hata Mbeya waweza kuwepo ila ufugaji wao sio mkubwa sana ni wa kiwango kidogo sababu soko asilimia kubwa haliko tayari kununua kuku quality kwa bei kubwa.
 
Tatizo lingine ni utalipata hapo kwenye kuku wa wa quality hiyo sawa na KFC London au UK.
Ukitaka kuku quality hiyo inabidi uagize South Afrika au Kenya au Zimbabwe

Vinginevyo anzisha shamba la kuku lako mwenyewe.Kwa Tanzania kulikuwa na wafuga kuku hao quality Amadolli ni kampuni ya kitaliano ilikuwa pale Dar njia ya kwenda mikoa ya kusini.Sijui kama bado wapo .Kama wapo basi waweza nunua kwao.

Ila kwa waswahili ufugaji wa kuku quality bado japo wapo wengine wanajitahidi hata Mbeya waweza kuwepo ila ufugaji wao sio mkubwa sana ni wa kiwango kidogo sababu soko asilimia kubwa haliko tayari kununua kuku quality kwa bei kubwa.
Yaani mkuu umepiga mule mule, sahihi kabisa, hao kuku inabidi uwe una import kutoka South Africa, na sio utumie local chicken. The same for viazi pia, you will have to import them, sio utumie viazi vya kutoka Kawetere na Tukuyu. Hapo tu kuna cost implication ya kutosha.
Shotocan
 
Yani kuanzisha mgahawa wa kuku wa kukaangwa na ngano na chips ndio uwe na walau billion 6? Thats hillarious, huo ujinga siwezi fanya hata kama napewa hio hela bure bora nikanunue Bonds BOT
Naona ttz ni brand kiongozi 😄
La sivyo kwa mzigo huo mtu anakuja kabisa na kitu chake chenye viwango hivyo hivyo vya kfc na zaidi kwa gharama chini ya hapo
 
Back
Top Bottom