Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Mtani Umeongea Nini Tena Hapa?Tutikula inguku imboli, matanga ghako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani Umeongea Nini Tena Hapa?Tutikula inguku imboli, matanga ghako.
Hapa Mbona Kidogo Watu Wa Hovyo Sana Nyie MtaniSijui ni kabila gani, lakini umetukosea adabu wanyakyusa.
Sahihi soko la KFC ni la High Class Mbeya soko hilo ni almost halipo.Wafanyabiashara wengi wakubwa pale wenye pesa wakinga lakini bahili sana kwenye matumizi hasa ulaji mchana hushindia mahindi ya kuchoma na chakula cha Mama ntilie kisichozidi shilingi elfu tatu nao wachache wengi hushinda njaa au kujipikiaKwa mbeya inakula kwake, atlest Arusha, kwa nje ya Dar.
Pia mauzo kuna targets unatakiwa kuzifikiaShida ni hizo initial investment
Billion 6 si Bora nikawekeze kwenye hati fungan pale BOT kwa mwaka nalamba 12% ambayo ni Sawa na milion720 [emoji16]Yani kuanzisha mgahawa wa kuku wa kukaangwa na ngano na chips ndio uwe na walau billion 6? Thats hillarious, huo ujinga siwezi fanya hata kama napewa hio hela bure bora nikanunue Bonds BOT
Sahihi kabisaBillion 6 si Bora nikawekeze kwenye hati fungan pale BOT kwa mwaka nalamba 12% ambayo ni Sawa na milion720 [emoji16]
Tuwekee costs sahihi mkuu, mimi kwenye kuchimba ndo nimepata hizi, na nimeambiwa the figures ni around humo humo, hata kama itakua pungufu tofauti haitakua kubwa kivile, sababu hapo cost kubwa ni ya franchise fees pamoja na training fees, maana itabidi watu wa KFC waje wakae kwenye hiyo branch for 2-3 months waki train, na kusimamia staff wako kuhakikisha ubora (quality assurance). Yaani wao wanataka kuku atakayokula mtu KFC iliyopo London, na kuku atakayokula mtu kwenye hiyo KFC yako ya Mbeya, ZISIWE NA UTOFAUTI WOWOTE..!! Sasa hiyo sio kazi ndogo, na kiasi kikubwa cha gharama kinaendaa humo.kwa Tanzania coast sio hizo mkuu...!
Kwanza jiulize, kwa Mbeya location ya hiyo KFC ataiweka wapi?Sahihi soko la KFC ni la High Class Mbeya soko hilo ni almost halipo.Wafanyabiashara wengi wakubwa pale wenye pesa wakinga lakini bahili sana kwenye matumizi hasa ulaji mchana hushindia mahindi ya kuchoma na chakula cha Mama ntilie kisichozidi shilingi elfu tatu nao wachache wengi hushinda njaa au kujipikia
Arusha na Dar sawa
Tatizo lingine utalipata hapo kwenye kuku wa quality hiyo sawa na KFC London au UK.Yaani wao wanataka kuku atakayokula mtu KFC iliyopo London, na kuku atakayokula mtu kwenye hiyo KFC yako ya Mbeya, ZISIWE NA UTOFAUTI WOWOTE..!!
[/USER]
Yaani mkuu umepiga mule mule, sahihi kabisa, hao kuku inabidi uwe una import kutoka South Africa, na sio utumie local chicken. The same for viazi pia, you will have to import them, sio utumie viazi vya kutoka Kawetere na Tukuyu. Hapo tu kuna cost implication ya kutosha.Tatizo lingine ni utalipata hapo kwenye kuku wa wa quality hiyo sawa na KFC London au UK.
Ukitaka kuku quality hiyo inabidi uagize South Afrika au Kenya au Zimbabwe
Vinginevyo anzisha shamba la kuku lako mwenyewe.Kwa Tanzania kulikuwa na wafuga kuku hao quality Amadolli ni kampuni ya kitaliano ilikuwa pale Dar njia ya kwenda mikoa ya kusini.Sijui kama bado wapo .Kama wapo basi waweza nunua kwao.
Ila kwa waswahili ufugaji wa kuku quality bado japo wapo wengine wanajitahidi hata Mbeya waweza kuwepo ila ufugaji wao sio mkubwa sana ni wa kiwango kidogo sababu soko asilimia kubwa haliko tayari kununua kuku quality kwa bei kubwa.
Naona ttz ni brand kiongozi 😄Yani kuanzisha mgahawa wa kuku wa kukaangwa na ngano na chips ndio uwe na walau billion 6? Thats hillarious, huo ujinga siwezi fanya hata kama napewa hio hela bure bora nikanunue Bonds BOT