TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 993
- 1,286
[emoji3516]Sajili jina la biashala Brela, mfano twambombo microfinance or finance or credit or micro credit or micro loan na baada ya hapo tafuta ofisi ilio sehemu nzuli weka vifaa kama computer, tengeneza vitabu vya uhasibu aka ledger, vitabu vya risiti, makusanyo ya kila siku, mfumo wa madaraka ikiwezekana nunua system aka loan management system ya bei ndogo kwa kuanzia tafuta muhasibu manager maafisa mikopo wawili na teller mmoja wape mkataba wa miezi sita na baada ya hapo ingia katika website ya BOT google kitu kinaitwa MICROFINANCE SERVICE REGULATION ACT YA MWAKA 2018 ilioanza kufanya kazi mwaka 2020 mwezi wa kumi mpk sasa.
Zisome hizo sheria kanuni na taratibu zake na uzielewe na kuna fomu ya kujaza mwishoni ili kupata leseni ya microfinance lkn kwa uchache Uwe na minimum capital ya kuanzia twenty million iliobenk ambapo unapoenda kuomba leseni wataomba bank statement ili kujua kama hicho kiasi kipo lakini pia itatakiwa Uwe na non refundable fee au unaweza ita ada ya maombi ya reseni kiasi cha shillingi laki tano kiasi hicho ukikitoa huwa hakirudishwi iwapo umekosa vigezo vya kupata reseni.
Kwa uchache ni hayo tu kama utahitaji msaada wa kiufundi zaidi ikiwemo ushauli wa kuendesha taasisi hio ya kifedha basi njoo PM kwani mimi ni consultant wa masuala ya microfinance na banking industry usiogope njoo tuyajenge
Ahsante sana Mkuu kwa maelekezo mazuri.Sajili jina la biashala Brela, mfano twambombo microfinance or finance or credit or micro credit or micro loan na baada ya hapo tafuta ofisi ilio sehemu nzuli weka vifaa kama computer, tengeneza vitabu vya uhasibu aka ledger, vitabu vya risiti, makusanyo ya kila siku, mfumo wa madaraka ikiwezekana nunua system aka loan management system ya bei ndogo kwa kuanzia tafuta muhasibu manager maafisa mikopo wawili na teller mmoja wape mkataba wa miezi sita na baada ya hapo ingia katika website ya BOT google kitu kinaitwa MICROFINANCE SERVICE REGULATION ACT YA MWAKA 2018 ilioanza kufanya kazi mwaka 2020 mwezi wa kumi mpk sasa.
Zisome hizo sheria kanuni na taratibu zake na uzielewe na kuna fomu ya kujaza mwishoni ili kupata leseni ya microfinance lkn kwa uchache Uwe na minimum capital ya kuanzia twenty million iliobenk ambapo unapoenda kuomba leseni wataomba bank statement ili kujua kama hicho kiasi kipo lakini pia itatakiwa Uwe na non refundable fee au unaweza ita ada ya maombi ya reseni kiasi cha shillingi laki tano kiasi hicho ukikitoa huwa hakirudishwi iwapo umekosa vigezo vya kupata reseni.
Kwa uchache ni hayo tu kama utahitaji msaada wa kiufundi zaidi ikiwemo ushauli wa kuendesha taasisi hio ya kifedha basi njoo PM kwani mimi ni consultant wa masuala ya microfinance na banking industry usiogope njoo tuyajenge
Bado, ndio napata ushauri hapa.Umeshasajili jina la biashara?
20milion with vivid sources na iwe kwenye account ionekane, kama utasema ulikopa ionekane kwenye bank statement na kwenye account, kama ni mauzo ya mifugo nyaraka zote zionekane hayo mauzo ya mifugo na yawe proven na wanasheria, any mess up application inafail.Minimum capital inayohitajika kuanzisha microfinance ni TZS ngapi?
[emoji3][emoji3][emoji3] hayo majina uliyo tolea mifano, direct ww mtu wa Mbeya.Sajili jina la biashala Brela, mfano twambombo microfinance or finance or credit or micro credit or micro loan na baada ya hapo tafuta ofisi ilio sehemu nzuli weka vifaa kama computer, tengeneza vitabu vya uhasibu aka ledger, vitabu vya risiti, makusanyo ya kila siku, mfumo wa madaraka ikiwezekana nunua system aka loan management system ya bei ndogo kwa kuanzia tafuta muhasibu manager maafisa mikopo wawili na teller mmoja wape mkataba wa miezi sita na baada ya hapo ingia katika website ya BOT google kitu kinaitwa MICROFINANCE SERVICE REGULATION ACT YA MWAKA 2018 ilioanza kufanya kazi mwaka 2020 mwezi wa kumi mpk sasa.
Zisome hizo sheria kanuni na taratibu zake na uzielewe na kuna fomu ya kujaza mwishoni ili kupata leseni ya microfinance lkn kwa uchache Uwe na minimum capital ya kuanzia twenty million iliobenk ambapo unapoenda kuomba leseni wataomba bank statement ili kujua kama hicho kiasi kipo lakini pia itatakiwa Uwe na non refundable fee au unaweza ita ada ya maombi ya reseni kiasi cha shillingi laki tano kiasi hicho ukikitoa huwa hakirudishwi iwapo umekosa vigezo vya kupata reseni.
Kwa uchache ni hayo tu kama utahitaji msaada wa kiufundi zaidi ikiwemo ushauli wa kuendesha taasisi hio ya kifedha basi njoo PM kwani mimi ni consultant wa masuala ya microfinance na banking industry usiogope njoo tuyajenge
Ushamba wa kiafrika tu uliochanganyika na roho mbaya za asili. Utadhani wanaishi mwezini walioweka hayo masharti. Unaweka non refundable application fees ili iwe nini? Discouraging or revenue? Because I can be sure that administrative costs to review and issue a license cannot go that high. So why such cumbersome requirements with high costs?20milion with vivid sources na iwe kwenye account ionekane, kama utasema ulikopa ionekane kwenye bank statement na kwenye account, kama ni mauzo ya mifugo nyaraka zote zionekane hayo mauzo ya mifugo na yawe proven na wanasheria, any mess up application inafail.
In short kusajili micro finances kumewekea michakato migumu na mirefu, kuishia njiani nje nje Amigo
Una mtaji kiasi gani; kwa sababu mawazo bila kianzio ni sawa na ndoto tuBado, ndio napata ushauri hapa.
Hakuna sababu ya kusema mtaji. Nakizi vigezo kwa mjibu wa kima cha chini.Una mtaji kiasi gani; kwa sababu mawazo bila kianzio ni sawa na ndoto tu
Kama umekizi vigezo, ukisikiliza miluzi mingi utapotea njia, anza kwa kusajili jina la kampuni/biashara BRELA; baada ya kukamilisha hiyo nenda hatua nyingine ya leseni; anza kazi. Ukisikiliza maneno mengi utapoteza muelekeo na hautafanikisha. Ikiwezekana akaunti ya kampuni/biashara weka benki ya posta, nimewaona wako karibu sana na hizi biashara hasa kimtajiHakuna sababu ya kusema mtaji. Nakizi vigezo kwa mjibu wa kima cha chini.
Una gubu na jazba kichizi. Sasa wasomi wote wa Africa wanahusika vipi na sheria ya non refundable fees?Ushamba wa kiafrika tu uliochanganyika na roho mbaya za asili. Utadhani wanaishi mwezini walioweka hayo masharti. Unaweka non refundable application fees ili iwe nini? Discouraging or revenue? Because I can be sure that administrative costs to review and issue a license cannot go that high. So why such cumbersome requirements with high costs?
Wasomi wa kiafrika ni bure kabisa. Hawana msaada wowote kwa wananchi wao. They tend to lump a lot of barriers/counterproductive policies to development pathways.
Kwahiyo laki 5 ndio itazuia matapeli kama ana nia ya kufanya utapeli? Yes, wasomi wa Africa (kwa ujumla wake) kwasababu matendo yao yanafanana kiasi ya kushindwa kutatua changamoto zinazolikabili bara hilo. So far, ndilo bara pekee ambapo halijaonyesha vivid progress ya kumaliza umaskini licha ya rasilimali nyingi ilizo nazo. Yes, kila mtu ana wajibu wa kufanya jambo kutatua changamoto zinazowakabili wanajamii lakini (kwa maoni yangu), wasomi Wana wajibu zaidi so wao wanapokuja one directional policies, inakatisha tamaa kama Africa itatoboa.Una gubu na jazba kichizi. Sasa wasomi wote wa Africa wanahusika vipi na sheria ya non refundable fees?
Micro finance and banks zinakuwa regulated na Bank Of Tanzania. Kabla ya hapo micro finance uchwara zilikuwa nyingi sana na nyingi zilikuwa na utapeli mwingi, kiasi cha watu kupoteza mali na wengine kupata shinikizo la damu kutokana na mali kuchukuliwa.
Hivyo, kuweka kwa sheria kama hizo ni fanya walio serious ba biashara ndio waende.
BAADHI HAMPENDI KUFWATILIA MAMBO KWA KINA ILA KWENDA KUTAPIKA UJINGA KWENYE MITANDAO
Wewe umechukua hatua gani kutatua matatizo kwenye jamii yako? Au ndio unasubiri hao wasomi unawaponda waje wakuletee solutions?Kwahiyo laki 5 ndio itazuia matapeli kama ana nia ya kufanya utapeli? Yes, wasomi wa Africa (kwa ujumla wake) kwasababu matendo yao yanafanana kiasi ya kushindwa kutatua changamoto zinazolikabili bara hilo. So far, ndilo bara pekee ambapo halijaonyesha vivid progress ya kumaliza umaskini licha ya rasilimali nyingi ilizo nazo. Yes, kila mtu ana wajibu wa kufanya jambo kutatua changamoto zinazowakabili wanajamii lakini (kwa maoni yangu), wasomi Wana wajibu zaidi so wao wanapokuja one directional policies, inakatisha tamaa kama Africa itatoboa.
Fanya assessments uone kama taasisi nyingi huko zina msaada wa kutatua changamoto za ajira, udokozi, makazi, masomo nk (kwa kasi inayotakiwa).
Mkubali ukweli mkiambiwa. Ni Africa ambako graduation inafanyika mwezi Novemba (mfano) then wahitimu wanaambiwa wachukue certificates January next year? Sasa msomi wa namna hii ana msaada gani kwenye jamii. Ni Africa mtoto akigongwa na gari katika highway, kesho unakuta matuta kama ya viazi. Infact, kuna mambo ya ajabu sana kutoka kwa "ze so called wasomi" kiasi mifano yake ikiwekwa hapa utajiuliza. No wonder akina Musukuma wanajipambanua kama wasomi zaidi kuliko nyie.
Folk, sina hicho unachoita gubu.
Maoni yetu unayaita eti Miluzi,Kama umekizi vigezo, ukisikiliza miluzi mingi utapotea njia, anza kwa kusajili jina la kampuni/biashara BRELA; baada ya kukamilisha hiyo nenda hatua nyingine ya leseni; anza kazi. Ukisikiliza maneno mengi utapoteza muelekeo na hautafanikisha. Ikiwezekana akaunti ya kampuni/biashara weka benki ya posta, nimewaona wako karibu sana na hizi biashara hasa kimtaji
Unashangaa hiyo bossUshamba wa kiafrika tu uliochanganyika na roho mbaya za asili. Utadhani wanaishi mwezini walioweka hayo masharti. Unaweka non refundable application fees ili iwe nini? Discouraging or revenue? Because I can be sure that administrative costs to review and issue a license cannot go that high. So why such cumbersome requirements with high costs?
Wasomi wa kiafrika ni bure kabisa. Hawana msaada wowote kwa wananchi wao. They tend to lump a lot of barriers/counterproductive policies to development pathways.