Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Ukiwaambia wasomi wanatuangusha wanakataa na kujitetea lakini wako busy kuhimiza vijana wajiajiri huku wakiweka startup environment ya kujiajiri kuwa ngumu sana. Mbaya zaidi, wala hawana mpango wa kubadilika. Haki ya Mungu, hatutoboi.Unashangaa hiyo boss
BOT kuna jamaa yangu ametaka kusajili biashara yake ni startup leseni bila kufanya chochote imegota 41M hii nchi ngumu sana na wanasema vijana mujiajiri