Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Wanasheria na wajuz wengi tafadharini sana naomba msaada wakisheria.
Ni hivi siku ya juz baada ya mechi ya yanga kulitokea mtafaruku kidogo baina ya mimi na jamaa mmoja ninayemdai pesa sasa kayika mtafaruku huo ikaishia mimi kufanyiwa shambulio ambalo lilinisababishia madhara kadhaa.
Nikaripot polisi na mtuhumiwa akawekwa lokapu sasa mashahid waliokuja pale kituon wote nimeona kama wamekula njama kwa kuwa upande wa mshtakiwa kwa kudai kwamba mimi mdio niliyemshambulia.
Bas leo tumeenda mahakama ya mwanzo ambapo kesi imetajwa na mshtakiwa amekana kosa hivyo hakim ametutaka tuje na mashahidi kesho asubuhi.
Kwa mwenendo wa kesi hii naona nitapoteza hela na muda hivyo nimedhamiria kuifuta au kutoonyesha nia ya kuendelea nayo.
Naombeni ushauri wenu wa namna ya kufanya au hatua za kufuata.