Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Wakuu Salam kwenu.
Naomba kujua namna ninaweza kufika Lusaka Zambia.
Nauli hadi kufika, gharama za maisha na mambo mengine muhimu.
Pass imeexpire so nitahitaji emergency travelling documents, je ninaweza kuzipata pale uhamiaji mpakani?
Na kuhusu visa, je inahitajika au ni visa free? Na kama inahitajika je wanaitoa pale mpakani au lazima niiombe kabla kwenye ubalozi wao?
Nitashukuru kama mtanisaidia maana safari ni muda wowote kuanzia sasa.