Taratibu za kuingiza mzigo wa simu toka China au Korea

Taratibu za kuingiza mzigo wa simu toka China au Korea

Tangasisi

Senior Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
116
Reaction score
64
Wadau napenda kuja mbele yenu kuomba msaada wa namna ya KUINGIZA simu used na mpya toka nje ya nchi km China na Korea .Mtaji ninao wa kutosha ila sijui km makadirio ya TRA yanakuaje kwa simu used na zile mpya.

Kwa yeyote aliyewahi kuingiza na ambaye anafanya Biashara ya simu uzoefu wako utakuwa msaada tosha kwangu na kwa watu wengine wenye mtazamo kama wangu. Asanteni.
 
Back
Top Bottom