Dr Luu JF-Expert Member Joined Nov 24, 2016 Posts 489 Reaction score 386 Aug 16, 2021 #1 Habari za wakati huu wadau wa jamvi hili, mimi ni mtaalamu wa tiba asili. Naomba kujuzwa juu taratibu zakufuata ili niweze kurasimisha dawa zangu za mitishamba. Msaada wadau.
Habari za wakati huu wadau wa jamvi hili, mimi ni mtaalamu wa tiba asili. Naomba kujuzwa juu taratibu zakufuata ili niweze kurasimisha dawa zangu za mitishamba. Msaada wadau.