Taratibu za Kusafirisha mashine toka nje

Taratibu za Kusafirisha mashine toka nje

Dibo10

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,311
Reaction score
1,594
Msaada:Taratibu za kusafirisha mzigo toka nje hasa kwa njia ya anga,naomba kuwasilisha
 
Wadau naomba msaada wenu kuna bidhaa nataka kuinunua toka ufilipino at exfactory price,ina kilo 100 sina uzoefu na gharama za kusafirisha mzigo toka nje hasa kwa njia ya anga,naomba kuwasilisha
Kwa kuwa supplier amekwambia bei ya EXW, so ww mwulize CIF akwambie. Yeye ndo mwenye jukumu la kujua Incoterms zote na awaambie wateja. Kama utapata utata, check na agent huyu wa uagizaji bidhaa nchi za nje watakuagizia nawe utawalipa commission www.kalumbilo.online
 
kwa anga kubeba kilo 100 parcel gharama itakuwa kubwa sana... nakushauri tumia sea freught..

maana hapo usafiri tu itakuwa sio chini wa usd 1000 kwa ndege...

wakati kwa meli ni cheap sana..

na kodi utalipa kubwa sabab tra wanafata cif.. so cif ya ndege itakuwa kubwa sana na ndiyo itakayopigiwa kodi..

gharama za kusafirisha kilo moja kwa ndege from asia to tz zinacheza kwa usd 10 mpaka usd 17 kwa 1 kg...

so kilo 100 nyingi sana kwa ndege
 
Mwambie Supplier awasiliane na shipping agent ili watumie air freight. Shipping agents wana bei nzuri mzigo unapokuwa kilo mia au zaidi. Bei yaweza kuwa kwenye US $400.
 
Back
Top Bottom