Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuwa supplier amekwambia bei ya EXW, so ww mwulize CIF akwambie. Yeye ndo mwenye jukumu la kujua Incoterms zote na awaambie wateja. Kama utapata utata, check na agent huyu wa uagizaji bidhaa nchi za nje watakuagizia nawe utawalipa commission www.kalumbilo.onlineWadau naomba msaada wenu kuna bidhaa nataka kuinunua toka ufilipino at exfactory price,ina kilo 100 sina uzoefu na gharama za kusafirisha mzigo toka nje hasa kwa njia ya anga,naomba kuwasilisha