Wadau naomba msaada wenu kuna bidhaa nataka kuinunua toka ufilipino at exfactory price,ina kilo 100 sina uzoefu na gharama za kusafirisha mzigo toka nje hasa kwa njia ya anga,naomba kuwasilisha
Kwa kuwa supplier amekwambia bei ya EXW, so ww mwulize CIF akwambie. Yeye ndo mwenye jukumu la kujua Incoterms zote na awaambie wateja. Kama utapata utata, check na agent huyu wa uagizaji bidhaa nchi za nje watakuagizia nawe utawalipa commission www.kalumbilo.online
Mwambie Supplier awasiliane na shipping agent ili watumie air freight. Shipping agents wana bei nzuri mzigo unapokuwa kilo mia au zaidi. Bei yaweza kuwa kwenye US $400.